Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Ttcl kwa mambo anayotufanyia , kutoboa kwenye competition ni ngumu sana, hasa kipindi hiki ambapo washindani wamekubali matokeo na kuanza kushusha beiSavanna anapiga price skimming akipata base na kishatoka ataanza kupandisha bei kama alivokuja Zuku vile. Na Zuku mwenyewe saivi 69k unapata 20mbps badala ya 10mbps. Competition ina heat up na TTCL mwenye mkonga wake anaachwa nyuma
Nb: hawa ttcl ukiwa hupati changamoto wapo vizuri sana