Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mdau hapo juu ameelezea Airtel wameshusha bei na kuongeza speed. Comment hii

Pia Voda wanayo japo sijajua procedure zipoje ambayo ni official ni 70K kwa 10mbps ila wadau mtaani wana unlimited ya 60k.

Pia un official zipo za Tigo, Airtel na wengine ila sijazofahamu vizuri zaidi reliability zake.
Chief, habari!?

Hivi router za Tigo/Yas zipoje!?
Unlimited yake ni ya uhakika?
Speed!?
 
Chief, habari!?

Hivi router za Tigo/Yas zipoje!?
Unlimited yake ni ya uhakika?
Speed!?
Mitandao ya simu ni location na location, kama kwako Tigo wapo vizuri na 5G inakamata utapata speed husika. Kikawaida unlimited unapimiwa kwa speed 10,20,30 mbps etc.

Tofauti na wengine Router za Yas ni za kulipia, wakati kina Airtel na Voda unapewa bure ukilipia kifurushi ama kutimiza vigezo fulani.
 
Kuna jamaa yangu anataka kununua wifi router, mahali anapoishi tigo ndio wapo vizuri, mitandao mingine inasumbua.
Alikuwa anaomba ushauri kuhusu hizo router za tigo.
 
Router ni hizo hizo zisikupe stress sana.

Cha muhimu hakikisha ni router ya 5G hata kama kwake hakuna 5G huwa modem za 5G zina flagship level 4G.

Asije akapewa vile vimifi vidogo havina issue.
Mfano wa muonekano wa router hizi za 5G zinakua kubwa, zina connect watu wengi etc
images-20.jpeg

Vimifi ambavyo Havina issue ni hivi.
images-21.jpeg
 
Router ni hizo hizo zisikupe stress sana.

Cha muhimu hakikisha ni router ya 5G hata kama kwake hakuna 5G huwa modem za 5G zina flagship level 4G.

Asije akapewa vile vimifi vidogo havina issue.
Mfano wa muonekano wa router hizi za 5G zinakua kubwa, zina connect watu wengi etc
View attachment 3416053

Vimifi ambavyo Havina issue ni hivi.
View attachment 3416068
Asante mkongwe.
 
Back
Top Bottom