Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,169
- 2,188
mwenzetu una bahati. sisi walishaifuta kitambo mpaka tushasahau. wewe wamekufutia leoHalotel walikuwa na hii ofa kwa week unapata 2.5GB kwa Tsh 2k, naona leo wameifuta rasmi
mwenzetu una bahati. sisi walishaifuta kitambo mpaka tushasahau. wewe wamekufutia leoHalotel walikuwa na hii ofa kwa week unapata 2.5GB kwa Tsh 2k, naona leo wameifuta rasmi
Mimi alinifutia kitambo wakawa wananipa 3000 kwa mwezi nikaacana na laini nimesajili nyingine. Hii kwa 2000 wanakuwa MB sijui 950, ukimaliza nda ya saa 24 wanakupa 2.5 GB za wiki.mwenzetu una bahati. sisi walishaifuta kitambo mpaka tushasahau. wewe wamekufutia leo
Asante,nimeweka ili wengine wasitapeliweDuh! Pole sana.
Hizi 2.5 wanakupa free tu baada ya kumaliza 950 ulizo nunua ?Mimi alinifutia kitambo wakawa wananipa 3000 kwa mwezi nikaacana na laini nimesajili nyingine. Hii kwa 2000 wanakuwa MB sijui 950, ukimaliza nda ya saa 24 wanakupa 2.5 GB za wiki.
Ndio, ikishaingia ile meseji ya umetumia 75% palepale unapata hizo 2.5.Hizi 2.5 wanakupa free tu baada ya kumaliza 950 ulizo nunua ?
Una bahatiNdio, ikishaingia ile meseji ya umetumia 75% palepale unapata hizo 2.5.
Kama hujapata, nicheki mkuuhuyu jamaa ako nimemtumia hela jana jioni akasema amemtuma mtu akanitumie hiyo line....badaaye nampigia simu hapokei kabisa..kuna usalama kweli hapa au ndio mambo ya mtandaoni nihasibiwe maumivu?
Unapiga ile 148*66 kisha unaenda namba1-ofa yangu au namba2-internet?Ndio, ikishaingia ile meseji ya umetumia 75% palepale unapata hizo 2.5.
Hiyo ya 10mbs speed ikoje.?Sijutii kuwatumia hawa Airtel, inaelekea mwaka wa 2 sasa.
Last month nilijiunga hiki cha 10Mbps kwa 70k, ngoja kiishe nijiunge tena nione kama hii 20Mbps itakuwa na utofauti kiviiile.
Nitawaletea feedback..
View attachment 3403580
View attachment 3403584
Speed nzuri tu, inatosha kwa matumizi ya kawaida ya watu atleast 10 ambao mnafanya simple tasks..Hiyo ya 10mbs speed ikoje.?
Namba 1 of yangu kisha inatokea hivi. Ila sio laini zote, ya zamani ilikuwa na hii of wakaiondoa, nimesajili nyingine ndio ina hii of.Unapiga ile 148*66 kisha unaenda namba1-ofa yangu au namba2-internet?
Ah !shukran naona leo wamenipa hiyo ofa nikasahau niliunga vipi. Na ili kuipata so unatakiwa lazima kuzimaliza ndani ya masaa 24 hizo 985 ?Namba 1 of yangu kisha inatokea hivi. Ila sio laini zote, ya zamani ilikuwa na hii of wakaiondoa, nimesajili nyingine ndio ina hii of.View attachment 3404412
Router ya Airtel unaweza kuitoa lock ikawa inatumika kwa laini zote?Hapana mkuu. Na deal na Smartbox pekee
Aliyenisajilia ndio aliiambia inabidi hizo 985 nizimalize ndani ya saa 24. Nikishapokea ile meseji ya umetumia 75% pale pale napokea GB 2.5 ambazo hizo natumia kwa wiki.Ah !shukran naona leo wamenipa hiyo ofa nikasahau niliunga vipi. Na ili kuipata so unatakiwa lazima kuzimaliza ndani ya masaa 24 hizo 985 ?