Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
- #10,441
Weusi kama wino? Vioo vya Amoled huwa vikifa pixels ndio basi. Ingekua lcd ingeweza kupotea baadaeMkuu nje ya mada kidogo, Nina simu yangu google pixel 7 pro Ina shida ikidondoka haipasuki kioo ila inatengeneza weusi ambao unaziba screen na hii inakua inasambaa baada ya mda.
Tatizo apo litakua ni kioo Cha kubadilisha au unanishauri nini maana ukiizima kioo hakina ata a mpasuko wowote.