iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
Nicheck WhatsApp +255737969975Mkuu nahitaji huduma ya kufyatua router ya Airtel 5G SmartBox
Nicheck WhatsApp +255737969975Mkuu nahitaji huduma ya kufyatua router ya Airtel 5G SmartBox
Uje ununue kwanguHii sio ya kukosa Usiseme sijakuambia.
HALOTEL WIKI2
Gb2 kwa 3000
Gb3 kwa 4000
Gb4 kwa 5000
HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 6000
Gb7 kwa 8000
Gb10 kwa 10,000
Gb15 kwa 14,000
Gb18 kwa 15,000
Gb20 kwa 18,000
Gb24 kwa 20,000
Gb25 kwa 22,000
Gb30 kwa 25,000
Gb38 kwa 30,000
Gb40 kwa 33,000
Gb50 kwa 40,000
Gb60 kwa 47,000
Gb70 kwa 55,000
Gb80 kwa 60,000
0618370992
Wanatembea kwa spidi sanaNimeona mtaani wanachimba waya za fiber ya Tigo
Ngoja wamalize project niwacheki.
Mh!Uje ununue kwangu
Gb1 kwa 1000
Mbona huamini mkuu
Bei za zamani hizi
Sina matumizi makubwa!, sema kuna muda nakuwa nahitaji GB zakutosha!, hiyo GB moja kwamatumizi yangu naweza kukaa hata siku tatu!, hapo kama sina vibe na miziki lakini kama nina vibe ohoo! just one day kwisha!..😂Mbona huamini mkuu
Kama una matumizi makubwa ya internet naweza kukupa GB 1 free ukatest
KheeSina matumizi makubwa!, sema kuna muda nakuwa nahitaji GB zakutosha!, hiyo GB moja kwamatumizi yangu naweza kukaa hata siku tatu!, hapo kama sina vibe na miziki lakini kama nina vibe ohoo! just one day kwisha!..😂
Tusichekane mkuu...😂Khee
naam, wanapiga kumbukiziBei za zamani hizi
Za Sasa zipoje mkuu!Bei za zamani hizi
🙏🏾🙏🏾Wale wa boli ukiwa na data unlimited hii itawafaa
Minitubetv.com utapata chaneli zote za Dstv na Azam bure
Azam Sports 1,2,3,4 Utv, ZBC, Sinema Zetu
Shukrani sana kwa sasa inapiga kazi vizuri mkuuMkuu kuna jamaa yangu fundi nimeongea nae anasema hizi simu storage yake ni 32GB, hawa jamaa kuna file wanapiga wana fake storage kama 128GB ili waziuze, hilo file wanalopiga linakinzana na whatsapp ndio inafungiwa. Anasema uki rudisha file la kawaida storage itashuka hadi 32GB na WhatsApp itakubali.
So tafuta fundi mzuri akuflashie.
IlikubaliHizo hazikubali whatsp zimefungwa
Ulifanyaje mkuu, acha feedback kwa faida ya wengine.Shukrani sana kwa sasa inapiga kazi vizuri mkuu
Niliwatumia email whatsapp customer care kuonyesha kwamba situmii fake whatsapp. Ikachukua kama siku sita kujibiwa baada ya Hapo whatsapp ikaanza kupiga kazi kama kawaidaUlifanyaje mkuu, acha feedback kwa faida ya wengine.
Iyo app inaitwaje? Icon yake inafananaje? Maana naona ni kama YouTube ndogo🙏🏾🙏🏾
Au sio 😂Uje ununue kwangu
Gb1 kwa 1000