Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

20250505_123248.jpg
 
Chief-Mkwawa Samahani nina Oppo a83 haikubali kutumia whatsapp naomba unielekeze nifanye nini ili whatsapp isome
Hii nishaisikia sana mkuu, ilitakiwa ikubali, my guess zitakua zimechezewa wakati wanatoa lock. Unaweza jaribu kuflash stock rom ila nna wasio wasi network lock inaweza rudi isisome line.
 
Mkuu elezea kiundani hapo sijakuelewa. Iwapo network lock ikirudi hakuna uwezekeno wa kuiondoa? Vipi kuhusu kufanya update maana haileti kabisa
 
Hio simu haina update android yake ni hio hio, sijui wameitoa vipi lock so ngumu kujua ikirudi lock urahisi wake wa kutoa upoje.

Kwanini usiwasiliane na aliekuuzia, obvious watakuwa na case nyingi atakupa idea wengine wanafanyaje
 
Back
Top Bottom