Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Vodacom, ttclTTCL or Airtel 🔥🔥🔥🔥🔥
Vodacom, ttclTTCL or Airtel 🔥🔥🔥🔥🔥
Zimefungiwa zoteeMkuu ni hizi za bure wanazotumia watu bila data
Wapo vizuri sanaNimeona mtaani wanachimba waya za fiber ya Tigo
Ngoja wamalize project niwacheki.
Mkuu ttcl ina mi-fi??Vodacom, ttcl
Unless huko kwenu kuna 5G za kutosha tafuta tu universal Router ambayo itaingia mitandao yote, then tumia mtandao ambao una bando nafuu na speed inayokuridhisha.Wakuu! Ni Mi-Fi ya mtandao gani itanipatia speed mzuri?
Ndio mkuuMkuu ttcl ina mi-fi??
Mkuu kuna jamaa yangu fundi nimeongea nae anasema hizi simu storage yake ni 32GB, hawa jamaa kuna file wanapiga wana fake storage kama 128GB ili waziuze, hilo file wanalopiga linakinzana na whatsapp ndio inafungiwa. Anasema uki rudisha file la kawaida storage itashuka hadi 32GB na WhatsApp itakubali.Chief-Mkwawa Samahani nina Oppo a83 haikubali kutumia whatsapp naomba unielekeze nifanye nini ili whatsapp isome
Anunue hizi routers za Airtel 5G SmatBox isiwe Model ya ZLT X25 tu hii haitoki LOCK kama Firmware Version yake inazidi 4.0.1, zingine zinatoka Network LOCK....Aje na hela 10k tu nimfyatulie Permanent Network UnLock atumie mitandao yake yote.Unless huko kwenu kuna 5G za kutosha tafuta tu universal Router ambayo itaingia mitandao yote, then tumia mtandao ambao una bando nafuu na speed inayokuridhisha.
Tumia tu simu yako ya sasa kucheki speed eneo lako, ungeanza na Halotel kwanza maana ina vifurushi vizuri, Tigo pia Home Internet vifurushi vina value.
Karibu hivi piaKutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
View attachment 2741119
Tigo postpaid
View attachment 2741120
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.
Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.
Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.
Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.
-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni
Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
Una ofisi mkuu?Anunue hizi routers za Airtel 5G SmatBox isiwe Model ya ZLT X25 tu hii haitoki LOCK kama Firmware Version yake inazidi 4.0.1, zingine zinatoka Network LOCK....Aje na hela 10k tu nimfyatulie Permanent Network UnLock atumie mitandao yake yote.
Vifurushi vyake vipoje?Ndio mkuu
Nina ofisi kwa ajili ya mishe zangu zingine tofauti mkuu... Ila hii ya ku unlock inafanyika remotely popote mtu alipo awe tu na kifurushi chochote cha internet kwa router yake anayotaka ku unlock..Una ofisi mkuu?
Halotel huwa wana packages nzuri sana.. sidhani kama kuna mtandao bongo una vifurushi cheap hivi vya kupima [emoji1] kama halotel kwa sasa..Karibu hivi pia
HakunaHalotel huwa wana packages nzuri sana.. sidhani kama kuna mtandao bongo una vifurushi cheap hivi vya kupima [emoji1] kama halotel kwa sasa..
Wanaweza kuwa na package nzuri ila signal ikawa weak.Hakuna
Asante Mkuu kwa ushauri kuntu.Unless huko kwenu kuna 5G za kutosha tafuta tu universal Router ambayo itaingia mitandao yote, then tumia mtandao ambao una bando nafuu na speed inayokuridhisha.
Tumia tu simu yako ya sasa kucheki speed eneo lako, ungeanza na Halotel kwanza maana ina vifurushi vizuri, Tigo pia Home Internet vifurushi vina value.
Package nzur na signal zipo labda kama unakaa porini sanaWanaweza kuwa na package nzuri ila signal ikawa weak.
Kama iziHalotel huwa wana packages nzuri sana.. sidhani kama kuna mtandao bongo una vifurushi cheap hivi vya kupima [emoji1] kama halotel kwa sasa..
Mkuu nahitaji huduma ya kufyatua router ya Airtel 5G SmartBoxAnunue hizi routers za Airtel 5G SmatBox isiwe Model ya ZLT X25 tu hii haitoki LOCK kama Firmware Version yake inazidi 4.0.1, zingine zinatoka Network LOCK....Aje na hela 10k tu nimfyatulie Permanent Network UnLock atumie mitandao yake yote.