Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sasa hivi Starlink wana hivi vidishi vidogo Starlink Mini Kit aisee kuna jamaa Kenya pale nmeona alkua anakitest.. wana package ya chini kabisa ambayo ni limited bandwidth (50GB) with unlimited speed gharama ni KES 1300 kwa mwezi...

1300 KES ( Kenyan Shilling - KSh) = 27,085.157 TZS ( Tanzanian Shilling - TSh)

Yaani hizo 50GB ni 27k kwa mwezi bila limit ya speed.

Alafu hiyo Mini Kit ina package nyingine inaitwa Residential Lite yenyewe ni UNLIMITED speed & bandwidth ambayo ni KES 4000 kwa mwezi.

4000 KES ( Kenyan Shilling - KSh) = 83,338.945 TZS ( Tanzanian Shilling - TSh)

Kwa mwezi UNLIMITED hiyo package ni around

TZS 83k

Na hii StarLink Mini KIT Kenya inauzwa
30000 KES ( Kenyan Shilling - KSh) = 625,042.090 TZS ( Tanzanian Shilling - TSh)

TZS 600k+

Daaah! Ndiyo ivo tena wakuu mambo ya StarLink...
 
majirani kwenye swala la tech wapo vyema ni wewe na hela yako tu , hapa kwetu kuna mda mpaka tunaanza kuwawazia wakuu mabaya (10% , shareholders).
 
Sasa hivi Starlink wana hivi vidishi vidogo Starlink Mini Kit aisee kuna jamaa Kenya pale nmeona alkua anakitest.. wana package ya chini kabisa ambayo ni limited bandwidth (50GB) with unlimited speed gharama ni KES 1300 kwa mwezi...

1300 KES ( Kenyan Shilling - KSh) = 27,085.157 TZS ( Tanzanian Shilling - TSh)

Yaani hizo 50GB ni 27k kwa mwezi bila limit ya speed.

Alafu hiyo Mini Kit ina package nyingine inaitwa Residential Lite yenyewe ni UNLIMITED speed & bandwidth ambayo ni KES 4000 kwa mwezi.

4000 KES ( Kenyan Shilling - KSh) = 83,338.945 TZS ( Tanzanian Shilling - TSh)

Kwa mwezi UNLIMITED hiyo package ni around

TZS 83k

Na hii StarLink Mini KIT Kenya inauzwa
30000 KES ( Kenyan Shilling - KSh) = 625,042.090 TZS ( Tanzanian Shilling - TSh)

TZS 600k+

Daaah! Ndiyo ivo tena wakuu mambo ya StarLink...
kwa tanzania kinaweza kupatikana mzee?..?
 
Halotel wanatumia band 7 sio common, Universal mifi zipo kibao mtaani ila inabidi ukague sana kupata hio band. Cheki fb marketplace utaziona za kutosha
Ohoo so nizingatie band 7 sio??
Screenshot_2025-05-18-14-03-36-689_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
Screenshot_2025-05-18-14-04-33-125_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Wakuu naweza kupata wapi pocket wi-fi nzuri ambayo inaingia line zote. Niweke hii line yangu ya m2m
Tafuta Universal Router hata huko nje zinauzwa agiza kama unaweza ila tu hakikisha bands zake ziko compatible na mitandao yetu angalia kwa description ya hiyo Router kwanza..

Bands za 4G zinazotumiwa na mitandao yetu Tanzania sana sana ni hizi [emoji116]

  • B3 (1800 MHz) – Inatumika na mitandao mingi kama Vodacom, Airtel, Tigo, na Halotel.
  • B20 (800 MHz) – Inatumika kwa upatikanaji bora wa mtandao vijijini na maeneo ya ndani ndani huko.
  • B40 (2300 MHz) – Inatumika na TTCL kwa huduma za 4G yake.

Kwa kuongezea hapo kama Router yako kama itakua na B7 ni nzuri hii ina frequency ya 2600 MHz ambayo mara chache Halotel anaitumia kwenye minara ya katikati ya mji hata voda anatumia B40 (2300 MHz) kwenye baadhi ya minara ya katikati ya mji/jiji..
 
ZLT X28 zote na ZLT X25 isipokua ZLT X25 tu ambayo firmware version yake iko above 4.0.1 haitoki bado solution yake haijapatikana..
View attachment 3338151
X28 ina band 7 pia zina Mimo x 4 inasaidia sana kuongeza speed (zina connect minara 4 kwa mpigo)

FB as cheap as 40,000,
Fuata ushauri wa juu Vhagar
 
Mkuu nje ya mada kidogo, Nina simu yangu google pixel 7 pro Ina shida ikidondoka haipasuki kioo ila inatengeneza weusi ambao unaziba screen na hii inakua inasambaa baada ya mda.
Tatizo apo litakua ni kioo Cha kubadilisha au unanishauri nini maana ukiizima kioo hakina ata a mpasuko wowote.
 
Mfano leo pia wakati nabadili line Kuna uchafu ukaingia kwenye uwazi wa kuchomeka pin nikasema nipulize utoke bwana bwana tatizo likaongezeka hewa ikaingia kwenye kioo na ule weusi ukangezeka kwenye screen ata kuona Sasa ni shida. Msaada mkuu apo nifanyaje.
 
Mkuu nje ya mada kidogo, Nina simu yangu google pixel 7 pro Ina shida ikidondoka haipasuki kioo ila inatengeneza weusi ambao unaziba screen na hii inakua inasambaa baada ya mda.
Tatizo apo litakua ni kioo Cha kubadilisha au unanishauri nini maana ukiizima kioo hakina ata a mpasuko wowote.
Mimi kwa ushauri wangu tu, hapo nunua simu nyingine kama huna hela ya kubadili kioo chake make bei imechangamka...

Simple tu kama hivyo..
 
Back
Top Bottom