Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Liquid Telecommunications

Screenshot_20250524-113222_Speedtest.jpg
Screenshot_20250524-113216_Speedtest.jpg
 
tiGo/Yass, na Halotel wanasema Pocket Wi-fi zao wanazouza 50,000 na unapata 20GB. Kama kuna mtu anatumia atupe uzoefu hasa kwenye speed.
Vile vya Airtel Pocket MiFi ni cheche, unaweza chukia ukakatupa au kukapasua tu... Napokaa mie Airtel ina speed kali sana kwa simu huwa napata kati ya 60-80 Mbps kwa 4G+ tu, ila kile kitakataka speed ni 5 - 8 Mbps hapo kamejitahidi mno, upload ndo kabisa hakapandi obviously wamevifinya speed afu ni unstable....
 
IMG_20250525_004137.jpg
IMG_20250525_003449.jpg
 
Vile vya Airtel Pocket MiFi ni cheche, unaweza chukia ukakatupa au kukapasua tu... Napokaa mie Airtel ina speed kali sana kwa simu huwa napata kati ya 60-80 Mbps kwa 4G+ tu, ila kile kitakataka speed ni 5 - 8 Mbps hapo kamejitahidi mno, upload ndo kabisa hakapandi obviously wamevifinya speed afu ni unstable....
Kuna tofauti gani ya hizi device, Yass ni Mi-Fi, na Halotel ni Wi-fi/Router.
 
Mie nahitaji internet unlimited kupitia:

1. Sim card; na
2. Pocket router 4G (universal).

Nahitaji simcard hiyo niwe natumia kwenye simu, na muda mwingine naweka kwenye router pia.

Ni mtandao upi wanatoa simcard pekee with unlimited internet?

Na je, ni pocket router ipi ambayo ni universal with strong connection?
 
Cc: Vincenzo Jr , iNine9 , Kingsmann , Chief-Mkwawa , Vhagar
 
Mie nahitaji internet unlimited kupitia:

1. Sim card; na
2. Pocket router 4G (universal).

Nahitaji simcard hiyo niwe natumia kwenye simu, na muda mwingine naweka kwenye router pia.

Ni mtandao upi wanatoa simcard pekee with unlimited internet?

Na je, ni pocket router ipi ambayo ni universal with strong connection?
Ambayo uhakika ni Halotel sema ndio wana throttle speed baada ya 100GB.

Tigo pia kuna mdau alileta feedback humu line zao zina piga kazi kwenye simu.

Router zimezungumziwa page kadhaa zilizopita nunua ya Airtel ambayo inatoka lock model zimetajwa.
 
Mie nahitaji internet unlimited kupitia:

1. Sim card; na
2. Pocket router 4G (universal).

Nahitaji simcard hiyo niwe natumia kwenye simu, na muda mwingine naweka kwenye router pia.

Ni mtandao upi wanatoa simcard pekee with unlimited internet?

Na je, ni pocket router ipi ambayo ni universal with strong connection?
Option rahisi niliyoipata kwa sasa ni line ya m2m hawa halotel wanatoa gb 38 kwa 30k

Wakati mwingine hutoa na bonus ya gb 7 kila ukijiunga kifurushi cha mwezi cha 30k

Hata mimi natafuta pocket wifi pia ili niweke hii line.
 
Sasa mkuu ni kwa nini watu wananunua pocket WiFi ingali wana smart phones?
Kama una backup phone ambayo ina angalau 4G ambayo huizingatii (hutegemei kuitumia sana) huna haja ya kununua hizi pocket WiFi...

Mfano una Samsung labda ndo unaitumia kwa shughuli zako daily afu pia una hata Tecno au Infinix ndo unaweza zitumia kama MiFi/Pocket WiFi sabu kwanza hizi simu Tecno/Infinix zinakaa na chaji hivyo life linaenda...

Hizi Pocket WiFi kwanza baadhi zimebanwa speed tofauti na simu kidogo hotspot ya simu ina nguvu na stable na tena kama simu ina support MiMO ndiyo utapata speed nzuri na kuenjoy.. Otherwise uchukue hizo routers kubwa za 5G
 
Back
Top Bottom