Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
mi ndo nimestuka leo mkuu, big step hiiKitambo hii kitu ndo natumiaga ka muda kidogo..
mi ndo nimestuka leo mkuu, big step hiiKitambo hii kitu ndo natumiaga ka muda kidogo..
Endelea kujifunza, tech ina mambo mengi sanami ndo nimestuka leo mkuu, big step hii
Hapana,kuweka Skrill unatoa bank kwa card inafika moja kwa moja lakini kutoa una machaguo kama kutoa ifike bank au rahisi iingie Airtel money moja kwa moja(hii ni chap sana)Mkuu inawezekana pia kuhamisha kutoka Airtel kwenda Skrill?
Hivi mkuu kuangalia show za nyuma kwenye stremio kupitia Torrento kama vile big brothers,survivors,cheaters,90 day fiance na kadhalika huwa inahitajika VPN?Mikoani ni TTCL most of time,
😃😀😀Halotel m2m Iko poa Airtel ni uchafu
Kuna service za kulipia zinaitwa debrid, hizo huku hakikishia availability hata kama ni torrent ya zamani isio na seeders.Hivi mkuu kuangalia show za nyuma kwenye stremio kupitia Torrento kama vile big brothers,survivors,cheaters,90 day fiance na kadhalika huwa inahitajika VPN?
Vpn ipi unazungumziaaKwan machimbo ya hizi VPN ni wapi?
Mbona wengine ukisikia tu inapita siku 1 imefungwa,,
Nipeni chimbo wakuu
Nilinunua router yao mchana hamna internet ila usiku fresh ila hii halotel m2m ni mshine Kasi haipungui wala kukatakata na unatembea nayo kokote
Ushamaliza GB 100?Nilinunua router yao mchana hamna internet ila usiku fresh ila hii halotel m2m ni mshine Kasi haipungui wala kukatakata na unatembea nayo kokote
Laini Yao wanauza bei gani?Nilinunua router yao mchana hamna internet ila usiku fresh ila hii halotel m2m ni mshine Kasi haipungui wala kukatakata na unatembea nayo kokote
Pole sana mkuukuna mtu ameshawahi ungwa ile bando unlimited ya vodacom kwa universal router yake binafsi tofauti na ile wanayotoa vodacom wenyewe, reliability yake ikoje?
mana hawa airtel ni miyeyusho sana bando ya 30mbps napata 2mbps
Ndio man natumia mimi, nipo na router DWR M960. Iko njema sana na kasi ya uhakika. Kifurushi ni cha 115,000/=kuna mtu ameshawahi ungwa ile bando unlimited ya vodacom kwa universal router yake binafsi tofauti na ile wanayotoa vodacom wenyewe, reliability yake ikoje?
mana hawa airtel ni miyeyusho sana bando ya 30mbps napata 2mbps
Endeleaa kuzisahau tu mkuu azina jipyaNikumbishieni vpn wakuu nshazisahau
Duh kumbe zilipofungwa ndo ikawa kimojaEndeleaa kuzisahau tu mkuu azina jipya
ni noma, asubuhi na mchana angalau unaweza hata fanya mawili matatu mtandaoni, ila jioni mpaka usiku hamna kitu kabisa, hata webpage hazifungukiPole sana mkuu
vipi kuanzia mida ya jioni na usiku, speed haishuki?Ndio man natumia mimi, nipo na router DWR M960. Iko njema sana na kasi ya uhakika. Kifurushi ni cha 115,000/=