Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
- #10,301
Unatafuta PayPal ya Kenya mkuu, watu hutumia line za Safaricom kusajili PayPal za kenya, toka Safaricom kuja mpesa unajitumia tu mwenyewe hela.Mkuu hivi unafanyaje fanyaje ili paypal iweze kupokea pesa hapa Bongo