Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 313
- 618
Kampuni gani wanatoa huduma ya fiber kwa uhakika Morogoro?
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.
Mikoani ni TTCL most of time,Kampuni gani wanatoa huduma ya fiber kwa uhakika Morogoro?
Msaada tafadhali.
Survey wanachelewa kufanya sana na zile story za kuishiwa vifaa .Mikoani ni TTCL most of time,
Unaweza kutumia njia ambazo sio fiber kama 5G za voda/Tigo/Airtel, Tigo kama ulivyoona juu wanasema wanakupa Speed unlimited ila wana throttle baada ya GB kadhaa, kwangu hio ingekua sina fiber ni nzuri sana.Survey wanachelewa kufanya sana na zile story za kuishiwa vifaa .
Ombi liko pending mwezi wa 6 sasa I had to opt otherwise.
Inawezekana kuhamisha hela kutoka Skrill kwenda Safaricom mkuu?Inasajiliwa na IDs za huko huko usalama wa pesa zako upo nina laini 3 za Safs moja ina miaka sasa toka 2017 natumia bila shida na ingine nilichukua 2020 natumia pia haina shida na sijawahi kumbana na fraud report yoyote. Nmepitisha miamala zaidi ya million 2-3 per day mara nyingi bila shida..
Vijana wengi wa Forex wanazo sana kwa ajili ya kufanyia transactions kwa brokers... Ninao wafahamu wanatumia sijawahi sikia wanalalamika wameibiwa.
But somebody kama anaamua kuchukua achukue with his/her own risk. Anything can happen si unajua online hakuko salama [emoji817]%
Unaweza kuhamisha skrill kwenda airtel money kwa hapa tanzaniaInawezekana kuhamisha hela kutoka Skrill kwenda Safaricom mkuu?
sme ya voda ni ya hovyo nenda airtelHivi vodacom wanavifurushi vya SME? Kama ndio bundle zao zikoje?
Inawezekana mkuu..Inawezekana kuhamisha hela kutoka Skrill kwenda Safaricom mkuu?
Vipo mkuuHivi vodacom wanavifurushi vya SME? Kama ndio bundle zao zikoje?
Mkuu inawezekana pia kuhamisha kutoka Airtel kwenda Skrill?Inawezekana mkuu..
Kuna mdau hapo juu naona kasema inawezekana kutoa skrill kuja Airtel Money (binafsi sijawahi jaribu kwa Airtel Money), Sa sijui kama ni one way transaction (kutoa tu) au inakubali both deposit & withdrawal transactions.Mkuu inawezekana pia kuhamisha kutoka Airtel kwenda Skrill?
mkwawa msaada tutani, nataka niweke hii waydroid ila katika linux distro nahitaji kutumia less than 50gb ya storage , una-suggest distro ipi hapo, lengo kubwa ni kustreamia soka tu kwa hizi app zetu za kizushi.Ni Layer ya Android kwenye Linux, kama windows wanavyotumia Blue stack kuweka apps za android, waydroid inatumika kwenye Linux, utofauti waydroid yenyewe inakuwa native sio emulation hivyo inakuwa nyepesi kama unatumia simu vile.
mimi experience ipo kwa neteller, option ya airtel money imewekwa kwenye withdraw tu, na hii bila shaka itakua na kwenye skrill ni hivyo hivyo maana hizi service mbili zinafanana karbu kila kitu sababu ya kununuliwa au kumilikiwa na kampuni mojaKuna mdau hapo juu naona kasema inawezekana kutoa skrill kuja Airtel Money (binafsi sijawahi jaribu kwa Airtel Money), Sa sijui kama ni one way transaction (kutoa tu) au inakubali both deposit & withdrawal transactions.
Linux hazili sana storage, mimi ni mpenzi wa fedora na Distro zake zinazofanania kama Bazzite.mkwawa msaada tutani, nataka niweke hii waydroid ila katika linux distro nahitaji kutumia less than 50gb ya storage , una-suggest distro ipi hapo, lengo kubwa ni kustreamia soka tu kwa hizi app zetu za kizushi.
natanguliza shukrani
intel, mkuu.machine i5 7th gen, gpu ya kawaida tu intel (r) hd 620Linux hazili sana storage, mimi ni mpenzi wa fedora na Distro zake zinazofanania kama Bazzite.
Fedora kuna ui ukiweka hata hio linux muonekano unakua kama wa simu, so ukiweka Waydroid ina blend vizuri sana.
Machine yako ni ya Amd ama intel? Una dedicated gpu? Kama ndio aina gani?
Tumia fedora mkuu,intel, mkuu.machine i5 7th gen, gpu ya kawaida tu intel (r) hd 620
pamoja mkuuTumia fedora mkuu,
Kitambo hii kitu ndo natumiaga ka muda kidogo..nipo na akili mnemba hapa linaniambia nikiwa na external hard drive sasahiv sihitaji kufuta vitu ili niitumia kama bootable device, haya madude yamekuja kutuokoa mazembe wa maujanja kwa hakika