Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sawa sawa mkuu japo hapo gharama naona kama inazidi kushoot ila kama ni kitu cha uhakika basi safi sana
Kwa upande wangu naona nimeokoa kz nimelipia package ya mwaka 185k na baki niki kimbizana na internet tu 70k. Ila na kuwa na uwakika wa mpira nje na ndani, movie na series bila hustle ya kudownload nani katika quality ya HD
 
Organisation's husika ndio zinaomba na hao manesi na walimu watapata tu wifi walienda kazini
Hii airtel fiber naiona kwenye menu yao inakuwaje? na naona kuna fiber zimepitishwa hapa nje kwangu naambiwa ni airtel, je nikihitaji huduma process inakuwaje? na pia naona kuna nguzo pia wanaweka naambiwa ni tigo naomba kuuliza na wao wanapitisha huduma gani kwa nguzo?
 
Hii airtel fiber naiona kwenye menu yao inakuwaje? na naona kuna fiber zimepitishwa hapa nje kwangu naambiwa ni airtel, je nikihitaji huduma process inakuwaje? na pia naona kuna nguzo pia wanaweka naambiwa ni tigo naomba kuuliza na wao wanapitisha huduma gani kwa nguzo?
Kwanza mkuu si kila fiber ni ya kufungiwa majumbani, wanatumia hizo fiber kuunganisha minara yao na mkonga,

Mitandao ya simu Imeanza Kutoa huduma ya fiber ila sio maeneo yote, sijawahi sikia Airtel kama wanatoa na Tigo wameanza maeneo ya Bunju, Halotel nilisikia Kigamboni wameanza na Vodacom Sinza.
 
Wale wa boli ukiwa na data unlimited hii itawafaa

Minitubetv.com utapata chaneli zote za Dstv na Azam bure

Azam Sports 1,2,3,4 Utv, ZBC, Sinema Zetu
Nashkuru Sana Mkuu Kwa hili chimbo. Nime download sasa hv nakula mzigo ulionyooka.
Screenshot_2024-12-21-12-46-50-902_minitubetv.apprmp.jpg
Screenshot_2024-12-21-12-46-45-002_minitubetv.apprmp.jpg
Screenshot_2024-12-21-12-46-14-993_minitubetv.apprmp.jpg
Screenshot_2024-12-21-12-47-17-170_minitubetv.apprmp.jpg
 
Mda sasa Azam imechakachuliwa, unless wawakamate hao wachina wanaochakachua ngumu kupiga pin.
kweli mkuu sidhani kama itakua rahisi kuzuia maana kama streaming sites kubwa kama kina sky sports, bein, na wenzao wote bado watu wanaendelea kupata access daily, sema umewataja wachina kuna kitu nimefikiri sjawahi ona website au app yenye gendo la startimes, ni watu hawana interest au mchina yuko vizuri ?
 
Juzi niliwaibukia Voda Hq kuulizia kama zile package zao mpya za Unlimited wanatoa kwa mtu mmoja mmoja pia.

Screenshot_2024-12-19-16-28-03-712_com.google.android.apps.docs-edit.jpg

Jibu walilotoa ni zinapatikana kwa entities tu, i.e shule, hospitali, vituo vya afya, dispensaries.

Nikamuuliza yule mtoa huduma kwa nini hizo package mpya msingefanya ndizo ziwe za mtu mmoja mmoja then zile za zamani ndizo ziwe za hayo maeneo ya public! Ila hakuwa na jibu la maana zaidi ya kusema labda kwa mbeleni.

Ila kimsingi hizi package wangefanya ndizo ziwe za mtu mmoja mmoja, zile za zamani zilipaswa ndizo ziwe za makampuni, kwa kufanya ivo wangeweza kupata wateja wengi sana.

IMG_20241220_112304.jpg
 
Back
Top Bottom