Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
mfano hapa karibuni mitandao ya simu ilikuwa inasumbua sana je unamsaidiaaje ndugu yetu ambae amefuata kila kitu na hana janja janja
 
Mi ndio maana naweza nikawa na laptop yangu hapo lakini nikatumia simu ku stream mpira kwasababu ya hiyo changamoto.
Moja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.

Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recommendations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
 
Moja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.

Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recomndations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
Ngoja ntaitest

Mechi za CAF si uhakika??
 
Aisee, hadi NBC PL ya bongo ipo?

Hawa noma
 
Ngoja ntaitest

Mechi za CAF si uhakika??
Mkuu hadi NBC PL ipo😂

Kweli dunia iko kiganjani..

Screenshot_2024-12-13-16-18-07-546_com.quoord.jamiiforums.activity-edit.jpg
 
Mechi za CAF si uhakika??

Aisee, hadi NBC PL ya bongo ipo?
Mkuu hao magwiji hawaachagi game! za NBC zinakuwaga chache sana na mara moja moja ila CAF zote wanaonyesha na streaming yao unasahau kabisa kama unafanya streaming,

Game za UCL, EPL, LA LIGA, Bundesliga, Serie A, Europa na Conference ligi zingine maarufu hawana wanayoacha na kama zikiwa zinapigwa zote pamoja wanakuwa na channel moja ya kufanya "Simulcast" ya Highlights za michezo yote.
Hawa wanaeza kutoa kwenye Subscription's mingi bila kujua.
 
Moja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.

Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recommendations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
Ngoja nijaribu hii
 
Mimi ni mdau wa movies na series sana ila mpira kiasi tu pale napo kuta upo na angalia. Natumia internet ya 70k toka Airtel na IPTV package moja toka South Africa kwa 8usd kwa mwezi nikilipia kwa miezi 6 inakuwa 40usd au mwaka 80usd. ndani napata super sports zote HD version plus Azam 1,2,3. Plus other DSTv channels. Pia ndani napata SEries na movies zote latest za HBO, Hulu, Netflix, Apple Tv, etc. So via Airtel 70k na IPTV 8usd swala la soka na movies nimemaliza kero za kudownload nimeacha na miezi kama sita sasa. Inshort hii package buffering chache sana
Sawa sawa mkuu japo hapo gharama naona kama inazidi kushoot ila kama ni kitu cha uhakika basi safi sana
 
Kulipia unlimited kuna faida kuliko dstv. Kwa sababu kuna access nyingi za kustream online kwa sasa, kuna apps kibao na ni HD.

Pia kwa sababu router nyingi ni portable na zina powerbank, unakuwa huna haja ya kuwa nyumbani ili utazame mpira au movies, muda wowote mahali popote unatazama mpira au movies kwenye simu yako, na hata ukirudi home una option ya kuendelea na tv yako.
Ni kweli mkuu, unlimited unaweza kupiga na miguu yote, japo mara kadhaa kama kuna mdau nimeona amesema unakuta link zinazengua unajikuta mambo yamekaa sawa watu wako halftime ila kama ni mara moja moja sio mbaya
 
Moja ya kitu inazingua ku-stream Mpira kwa Simu halafu unakuwa na Device nyingine ambazo ni bora zaidi.

Kuna hii Link hakuna Mechi inaacha FawaNews - Your Home of Sport
Msimu huu naona watu wa mpira ni sehemu ya kuishi humo. Nimeona recommendations za app nyingi humu ila nyingi ni maumivu tu. Hii kama hukuitumia kabla uje toa Mrejesho mkuu.
Hii kitu kweli noma nimeitest naona inapiga mzigo safi sana had nbc ndanii
 
Back
Top Bottom