Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu nimeshindwa kupata app ya hii kitu,msaada pls naipata kwenye play store au google?
ingia kwenye website yake www.minitubetv.com halafu unabofya hapo palipoandikwa download

1735049567465.png
 
Hodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact

Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Mcheki huyu jamaa BurtonSat_Shop kwa huduma ya IPTV, bei nafuu na uhakika.
 
Msaada
Mwenye kujua naweza vipi kupata gb atleast kwa mwezi kwa bei rahisi anisaidie
Natumia halotel, voda na tigo
Nitawafundisha mpaka lini? , Ukiteswa na bando, Huo ni uzembe wako, kwa halotel Pata GB2 kwa 3000, Gb3 kwa 4000, GB5 kwa 5000, Gb7 kwa 7000, Gb10 kwa 10000, Gb15 kwa 14,000, Gb20 kwa 19,000, Gb25 kwa 23000 na Gb30 kwa 26000 tu mwezi mzima. 0618370992.
 
Hii kama inakukatalia wapigie 100 waeleze laini yako inakataa kujiunga na hiyo huduma, watakuuliza maswali kama kuna subscription zozote umefanya kwenye laini yako, kisha watalichukua kama tatizo baadae, itakubali hata mimi ilikua inakataa nikawapigia 100 baadae nilipojaribu ikakubali.
Nikiingia kwenye hiyo menu kuna option ya kujitoa na best offer
20250102_171944_mfnr.jpg
. Hakuna option ya kujiunga.
 
Nimefanya a deadly mistake..

Leo nimenunua Router ya Airtel 5g ili nitumie home..nilivyokuwa Town spidi ilikuwa kubwa sana na taa ya 5g ilikuwa inawaka..kurudi home hamna kitu hata hiyo 4G hamna kufungua tu whatsapp pic mtihani..

Hapa naona nimepoteza 110k hivihivi..

Wenzangu mnaotumia hii kitu vipi??

Na je kuna option nyingine nzuri ya unlimited kwa Voda au Tigo??.. maana nimepima speed kwa kutumia simu naona zipo
vizuri kwa eneo nililopo
 

Attachments

  • Screenshot_20250102-223348_Chrome.jpg
    Screenshot_20250102-223348_Chrome.jpg
    97.4 KB · Views: 11
Nimefanya a deadly mistake..

Leo nimenunua Router ya Airtel 5g ili nitumie home..nilivyokuwa Town spidi ilikuwa kubwa sana na taa ya 5g ilikuwa inawaka..kurudi home hamna kitu hata hiyo 4G hamna kufungua tu whatsapp pic mtihani..

Hapa naona nimepoteza 110k hivihivi..

Wenzangu mnaotumia hii kitu vipi??

Na je kuna option nyingine nzuri ya unlimited kwa Voda au Tigo??.. maana nimepima speed kwa kutumia simu naona zipo
vizuri kwa eneo nililopo
Hapa subiri wakina Kingsmann Mwl.RCT wakupe muongozo haiwasumbui.


SEma wakuu airtel watafakari jambo malalamiko yamekua mengi sana
 
Back
Top Bottom