Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

wakuu huduma ya ttcl fiber inanipa changamoto sana wiki za hivi karibuni, network inakata sana kwa muda wa dakika au nusu dakika hivi hali hii inaweza tokea hivi karibu siku nzima, hali ipoje upande wenu.

nb: speed tests zina matokeo mazuri tu
 
Yas nao wameleta router zao za tsh 99,000 na malipo ya kuanzia 70,000 kila mwezi. Kwa ambao wamenunua naomba watupe mrejesho kwasababu Ile router yako awal ya tsh 250,000 kwa sisi wengine ambao wasakatonge ilikuwa changamoto sana.
Mixx by yas kutoka 600k mpaka 99k , Airtel 5G shikilia hapo mpaka hawa wahuni wengine wapunguze bei.

Huu ss ndio ushidani wa kiBiashara
 
Duh kumbe bei ya awali ilikuwa 600k?. Aseeh kama ndiyo hivyo watakuja kwenye mfumo wa bei za kitonga kama airtel tu
Mzee ilikuwa ni Bei ya kiwanja kabisa.

Nasikia walipanga mitandao yote huduma ziwe SAWA sawa, lakini mitandao ikawa inapata hasara coz kila mtandoa ulikuwa na aina tofauti ya wateja , ndio Airtel 5G wakaja kivingine ili kuengeza wateja wapya.

Jiwe alingilia hii Biashara akaiharibu pakubwa sana, watu wenye hisa walipata hasara kubwa
 
Back
Top Bottom