alamry3
Member
- Jul 24, 2023
- 69
- 294
Kusema kweli yas na business model yao ile ya 5G unlimited ni mbaya sana. Nimahama kutoka voda kwenda yas kile kifurushi chao cha 20mbps unapewa gbs 15 sijui 20 alf zikiisha unabaniwa speed mpaka 2mbps mpaka saa6 usiku unaengezewa speed hii biashara imenishinda nimeona bora nirudi zangu voda tu. Japo unalipa premium Lkn unapata kitu cha uhakika na ile router yao ya yas naitumia kama bridge tu