Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

wakuu huduma ya ttcl fiber inanipa changamoto sana wiki za hivi karibuni, network inakata sana kwa muda wa dakika au nusu dakika hivi hali hii inaweza tokea hivi karibu siku nzima, hali ipoje upande wenu.

nb: speed tests zina matokeo mazuri tu
Ndo ilivyo hivyo ttcl
 
Duh .. hii sasa kali kwahiyo kwa mfano siku ukiamua kupakua file kubwa tuseme 70 gb; utapakua 20 gb siku hiyo kisha usubiri siku nzima internet inakuwa mbaya. Kesho tena unapakua 20gb zingine mpaka siku nne baadaye ndio unamaliza na siku zote hizo hutaweza kufanya la maana na internet yako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni utumwa
Siyo gb 20 kwa siku, ni gb 20 kwa kifurushi kizima zikiisha speed inashuka mwendo wa kobe mpaka kifurushi kitapoisha (mwezi mzima)
 
Tokea aje savanna naona hali imekuwa ngumu kwa ISPs
IMG_2087.jpeg
 
Toka 75 mpaka 55 so mchezo, kuna jamaa zangu wa karibu wengi wamehama Gofiber kwenda Savannah.
Savanna anapiga price skimming akipata base na kishatoka ataanza kupandisha bei kama alivokuja Zuku vile. Na Zuku mwenyewe saivi 69k unapata 20mbps badala ya 10mbps. Competition ina heat up na TTCL mwenye mkonga wake anaachwa nyuma
 
Kwa wale wa Airtel kama unachukua waambie wakupe zile Smartbox ZLT X28 zina antenna nzuri za kukusanya mawimbi, zile ZLT X25 zina technologia mbovu na mtandao zinachagua maeneo hasa ukiwa nje ya mji ni tatizo kuna watu hadi wanazi zungushia FOIL ili kuboost signals.. ninapokaa nmefanya testing nmegundua hili kwa kuzilinganisha zote mbili uwezo, na pia kuna watu kadhaa nmewatumia kufanya haka ka research wame thibitisha hili..

Nilipo Airtel ndiyo inaongoza kua na mtandao wenye speed yaani kwa simu napata mpaka 80Mbps bando la kawaida na ping yake ndogo sana... Ila nilitumia routers 2 tofauti za watu hizi za Airtel nikapima performance ni mbovu hizi ZLT X 25 ila kwa zile ZLT X28 ilikua bora zaidi nilipata speed nzuri kulingana na kifurushi kilichokuepo..

Ushauri mzuri sana huu mkuu
Thanks...
 
Ninakuasaidia wewe kupunguza gharama za bando kwa kuuuzia bando za internet kwa bei nafuu sawa na buree

HALOTEL WIKI
Gb2 kwa 3000
Gb3 kwa 4000
Gb4 kwa 5000

HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 6000
Gb7 kwa 8000
Gb10 kwa 10,000
Gb15 kwa 14,000
Gb18 kwa 15,000
Gb20 kwa 17,000
Gb25 kwa 20,000
Gb30 kwa 25,000
Gb38 kwa 30,000
Gb40 kwa 32,000
Gb50 kwa 38,000
Gb60 kwa 48,000
Gb80 kwa 58,000
Na Kuendelea
0618370992
 
Back
Top Bottom