Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Around masaa 6 hivi GB 50, kama una hdd kubwa hifadhi,Mkuu hi ndio speed yake nimeenda pale ku testView attachment 2729541
Hii supakasi?Na hivi ndio vifaa vya ndani nimeona kawekewaView attachment 2729542
Hapana ni AirtelHii supakasi?
Achana nayo hiyo tumia ya airtel tigo ni kausha damuMkuu nawezaje kuunganishwa na post paid ya Tigo?
Habari mkuu ...Post paid service ya Airtel ikoje ? Bundle la chini kabisa wanatoa GB ngap na kwa shng ngapi ?Achana nayo hiyo tumia ya airtel tigo ni kausha damu
Mbona naambiwa Airtel ni slow kwenye mtandaoAchana nayo hiyo tumia ya airtel tigo ni kausha damu
WanakudanganyaMbona naambiwa Airtel ni slow kwenye mtandao
10k gb 7Habari mkuu ...Post paid service ya Airtel ikoje ? Bundle la chini kabisa wanatoa GB ngap na kwa shng ngapi ?
ODU hiyoHapana ni Airtel
Hii sio Airtel unataka kunambia?ODU hiyo
ODU hiyoKwa nnje nimeona hiiView attachment 2730146
Ni Airtel ODUHii sio Airtel unataka kunambia?
Oooh na vipi internet yake speed? Maana nimeambiwa ni mbps40ODU hiyo
Ni service kutoka Airtel ya antenna niliweka hadi picha zake hapa
View attachment 2730159View attachment 2730160
Kama ni hiyo nakushauri uachane nayo bora uchukue Router 5G ambayo ni movable lakini pia inakupa kitu kingine vha ziada kasi ya 5GTuelekezane vzur bhnaaa tusije kupigwa maana nilitak mpk tarehe 5 mambo yote yawe tayali kiukwer kama ni Voda mie hapana
Oooh ila mkuu SI nilimpigia yule dada ulie nipa namba yake akadai kuwa eneo langu hakuna 5g so ita take time sana mpk kuja kupata vip Kuna njia YOYOTE labda,? Maana uwezo wakununua hio router NinaoKama ni hiyo nakushauri uachane nayo bora uchukue Router 5G ambayo ni movable lakini pia inakupa kitu kingine vha ziada kasi ya 5G
Router unaweza kutoa 200K ukawa unalipia kifurushi cha 70K per month
ODU wanakufungia bure lakini kifurushi ni 115,000
Na hapo ni huduma ambayo iko fixed sehemu moja.
Na speed nadhani wanatoa sawa yani 10Mbps sawa na package ya 70K kwa Router
Speed sina hakika sana ila unaweza kukadiria tu kupitia gharamaOooh na vipi internet yake speed? Maana nimeambiwa ni mbps40