Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kuna jamaa anakufungia popote ila yeye anahudumia package ya 110,000Nataman kuchukua hii package, but nnapokaa 5g bado. Nikichukua kutumia kwenye 4g hawawez kunifungia huduma baadae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa anakufungia popote ila yeye anahudumia package ya 110,000Nataman kuchukua hii package, but nnapokaa 5g bado. Nikichukua kutumia kwenye 4g hawawez kunifungia huduma baadae?
Airtel wana huduma ya ODU ambayo ilikuwa inafanana na ile Supakasi ya Voda ambayo ilikuwa inafanyiwa installation ya ma antennaODU? Ni ipi iyo?
Huku kinondoni wanaleta? Na ni ulimited kweli? Jumatatu waniletee hii kitu.Bado nakuna kichwa hapa
270K nafikiria niwe na mbinu ya kuifanya internet izalishe.
Nikiweza kupata walau vichwa kadhaa wa kushea hapo itanipunguzia mzigo kiasi fulani
Huko nadhani ipoHuku kinondoni wanaleta? Na ni ulimited kweli? Jumatatu waniletee hii kitu.
Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.Updates*
Kifurushi Cha Airtel 5G ambacho kilitangazwa kuuzwa 70,000 kwa 10Mbps sasa ni rasmi imeanza kuuzwa leo.
Ila kampuni limeamua kuuza kifurushi hicho kwa wateja wa majumbani tu na sio maofinisi. Kwa maana hiyo mteja atalazimika kununua kifaa (Router) kwa gharama ya 200,000.
Naomba no nifanye nao mazungumzo mkuuHuko nadhani ipo
Nimempigia dada amesema 5g kinondoni hakuna minara yake...basi ngoja tuendelee kusugua benchiNaomba no nifanye nao mazungumzo mkuu
Hata hii Router ina store charge unaweza kuitumia popote pale.Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
Hapo unajidanganya labda upate mtaalamu wa DNS akufungie DNS ili watu wasiweze kutumia baadhi ya website..Pia unaweza kununua WI-FI booster au Extender kama wengi wanavyoiitaWakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…
Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…
Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 Nimepata watu 7 tu Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…
Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER ili iweze kupush umbali mwengine nae akasema ni nunue BUSTA ili nifikishe mbali zaidi japo kasema ipo ya mita 100,200,300 na kilometa 1…Mimi mgeni wa ivi vitu naogopa kupigwa…
Mwenye uelewa naomba anieleweshe…
Hongera mi niliwatafuta wakasema kwa maeneo niliyopo hakuna fiberWajomba baada ya kuangaika kutafuta internet kwa mda mrefu sasa nimefanikiwa kupata ya hawa jamaa wanaitwa net solution...speed ni 20mbps nishatumiwa invoice kwa ajili ya malipo ni laki 77 kwa miezi mitatu..wamepita huku uswahilini kwetu.View attachment 2727406
Daaah polee kaka.mimi sasa nitarelax kidogo 20mbps kwa 59000 si haba.hapa nishapata wadau wangu watano hapa home so tutagawana kulipa[emoji16][emoji16]Hongera mi niliwatafuta wakasema kwa maeneo niliyopo hakuna fiber
Kwa hiyo labda wanifungie ya satelite ambayo installation ni laki 5 halafu package ni 88,500
View attachment 2727431
Hongera zako bana si wengine bado tunapambanaDaaah polee kaka.mimi sasa nitarelax kidogo 20mbps kwa 59000 si haba.hapa nishapata wadau wangu watano hapa home so tutagawana kulipa[emoji16][emoji16]
Hata hii Router ina store charge unaweza kuitumia popote pale.
Kama ndio hivyo basi hii itakuwa poa kwako kwasababu ina 5G na vifurushi vyake viko cheap kiasi kulinganisha na Voda.
Yap nimezihakiki kwa macho yangu kabisa zinatunza chaji MkuuKweli bro? Unafahamu model number ya 5G modem hii maana kama inakaa na chaji basi hii ndiyo kimbilio langu. Nitatest kama 5G inashika hapa home.
Mkuu kwema?, Hebu nipe feedback ya hii supakasi,.. iko njema?Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
Sijui kama sio TTCL hiiDaaah polee kaka.mimi sasa nitarelax kidogo 20mbps kwa 59000 si haba.hapa nishapata wadau wangu watano hapa home so tutagawana kulipa[emoji16][emoji16]
Sio maeneo hawa wanafunga majengo halafu wanaringa balaa, mi nipo nyumba ya pili tu ya jengo waliloleta Fiber unabembeleza hadi unachoka, wanafunga maghorofa makubwa yenye watu wengi.Hawa jamaa wa Liquid nao wana bei nzuri, sema Fiber yao inaonekana haifiki sehem nyingiView attachment 2727668
Nilisumbuana nao sana mpaka waniletee kifaa mwaka jana. Lakini huduma yenyewe haina shida kabisa.Mkuu kwema?, Hebu nipe feedback ya hii supakasi,.. iko njema?