Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

ODU? Ni ipi iyo?
Airtel wana huduma ya ODU ambayo ilikuwa inafanana na ile Supakasi ya Voda ambayo ilikuwa inafanyiwa installation ya ma antenna

Screenshot_20230824-130251.png
 
Bado nakuna kichwa hapa

270K nafikiria niwe na mbinu ya kuifanya internet izalishe.

Nikiweza kupata walau vichwa kadhaa wa kushea hapo itanipunguzia mzigo kiasi fulani
Huku kinondoni wanaleta? Na ni ulimited kweli? Jumatatu waniletee hii kitu.
 
Updates*

Kifurushi Cha Airtel 5G ambacho kilitangazwa kuuzwa 70,000 kwa 10Mbps sasa ni rasmi imeanza kuuzwa leo.

Ila kampuni limeamua kuuza kifurushi hicho kwa wateja wa majumbani tu na sio maofinisi. Kwa maana hiyo mteja atalazimika kununua kifaa (Router) kwa gharama ya 200,000.
Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
 
Hata hii Router ina store charge unaweza kuitumia popote pale.

Kama ndio hivyo basi hii itakuwa poa kwako kwasababu ina 5G na vifurushi vyake viko cheap kiasi kulinganisha na Voda.
 
Wajomba baada ya kuangaika kutafuta internet kwa mda mrefu sasa nimefanikiwa kupata ya hawa jamaa wanaitwa net solution...speed ni 20mbps nishatumiwa invoice kwa ajili ya malipo ni laki 77 kwa miezi mitatu..wamepita huku uswahilini kwetu.
Screenshot_niliyoedit info.jpg
 
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…

Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 Nimepata watu 7 tu Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…

Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER ili iweze kupush umbali mwengine nae akasema ni nunue BUSTA ili nifikishe mbali zaidi japo kasema ipo ya mita 100,200,300 na kilometa 1…Mimi mgeni wa ivi vitu naogopa kupigwa…

Mwenye uelewa naomba anieleweshe…
Hapo unajidanganya labda upate mtaalamu wa DNS akufungie DNS ili watu wasiweze kutumia baadhi ya website..Pia unaweza kununua WI-FI booster au Extender kama wengi wanavyoiita

Lakini pia unaweza kushauri wateja wako wanunua Wi-Fi afapter dongle ni 15k tu zile ndogo zenye antenna unaweka kwenye PC
Wifi%20USB%20Adapter%20300%20Mbps%20Wireless%20Dongle%20(1_3).jpg
 
Wajomba baada ya kuangaika kutafuta internet kwa mda mrefu sasa nimefanikiwa kupata ya hawa jamaa wanaitwa net solution...speed ni 20mbps nishatumiwa invoice kwa ajili ya malipo ni laki 77 kwa miezi mitatu..wamepita huku uswahilini kwetu.View attachment 2727406
Hongera mi niliwatafuta wakasema kwa maeneo niliyopo hakuna fiber

Kwa hiyo labda wanifungie ya satelite ambayo installation ni laki 5 halafu package ni 88,500

Screenshot_20230824-174513.png
 
Hongera mi niliwatafuta wakasema kwa maeneo niliyopo hakuna fiber

Kwa hiyo labda wanifungie ya satelite ambayo installation ni laki 5 halafu package ni 88,500

View attachment 2727431
Daaah polee kaka.mimi sasa nitarelax kidogo 20mbps kwa 59000 si haba.hapa nishapata wadau wangu watano hapa home so tutagawana kulipa[emoji16][emoji16]
 
Hata hii Router ina store charge unaweza kuitumia popote pale.

Kama ndio hivyo basi hii itakuwa poa kwako kwasababu ina 5G na vifurushi vyake viko cheap kiasi kulinganisha na Voda.

Kweli bro? Unafahamu model number ya 5G modem hii maana kama inakaa na chaji basi hii ndiyo kimbilio langu. Nitatest kama 5G inashika hapa home.
 
Kweli bro? Unafahamu model number ya 5G modem hii maana kama inakaa na chaji basi hii ndiyo kimbilio langu. Nitatest kama 5G inashika hapa home.
Yap nimezihakiki kwa macho yangu kabisa zinatunza chaji Mkuu
 
Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
Mkuu kwema?, Hebu nipe feedback ya hii supakasi,.. iko njema?
 
Hawa jamaa wa Liquid nao wana bei nzuri, sema Fiber yao inaonekana haifiki sehem nyingiView attachment 2727668
Sio maeneo hawa wanafunga majengo halafu wanaringa balaa, mi nipo nyumba ya pili tu ya jengo waliloleta Fiber unabembeleza hadi unachoka, wanafunga maghorofa makubwa yenye watu wengi.
 
Back
Top Bottom