Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Duuh imekuwaje wamekugomea kwani!
Acha tu Mkuu yani nimechoka.

Jamaa nimeweza kumshawishi kweli amefika mpaka maeneo tumesajili line kila kitu kimeenda fresh.

Ila katika system kila tukiangalia packages tunaona package moja tu ya 110,000.

Jamaa akawa anapiga simu kwa wakubwa zake akajiniwa kuwa hiyo package bado haijawa activated.

Mi nikauliza "sasa kulikuwa na sababu gani kuweka promosheni ya kifurushi ambacho bado hamjaaza kukiuza"

Akasema hiyo ndio kitu ambayo tumejadili leo hivyo kuanzia saizi promosheni yetu itajikita zaidi kwenye hiyo package ya 110,000.

Jamaa akawa ananibembeleza nichukue hiyo hiyo ya 110,000 nikamuambia siwezi kumudu gharama tutasumbuana tu siku za baadaye.

Basi zoezi likabidi liishie hapo.
 
Mkuu sio kwamba wa nyumbani wana vifurushi vyao na maofisi vifurushi vyao?
Hakuna kama hicho kitu Mkuu.

Kama utaweza mcheki yule sista niliyeweka namba yake hapa halafu mwambie upo Mwenge jifanye kama unaulizia hicho kifurushi cha 70,000 katika namna yeyote yani kiofisi au nyumbani utaona atavyokujibu.

Ilikuwa sio rahisi kumkubalia jamaa aondoke huku Router naiona hii hapa afu kikwazo ni package. Nimepiga simu kwa wale team leaders wote ambao walionekana kutoweza kutoa huduma maeneo yetu kwasababu hakuna 5G

Hao wote wamesema hicho kifurushi hakipo bado hakijaanza kutumika.
 
Bado ulikua Mzembe Mimi nimekula gb149 ndani ya izo 10 days[emoji1][emoji1]
Sasa hapa inategemeana na speed ya server ulizoungiwa pamoja na area ambayo upo iko friendly na TTCL

Maana mimi ilikuwa inasoma H hata 4G inagoma.

Nikajua pengine ni line sio 4G nikaenda kariakoo kwenye ofisi zao ili ni swap.

Ile nimefika tu pale ofisini nikashangaa ile H ikatoka ikawa inasoma E

Yani ilionekana bora mtaani kwangu kuna bands za network zinazoweza kushika hata 3G kuliko kwenye ofisi yao ambapo inasoma E.
 
Wana nyodo sana
Screenshot_20230822-185625.png
 
Sasa hapa inategemeana na speed ya server ulizoungiwa pamoja na area ambayo upo iko friendly na TTCL

Maana mimi ilikuwa inasoma H hata 4G inagoma.

Nikajua pengine ni line sio 4G nikaenda kariakoo kwenye ofisi zao ili ni swap.

Ile nimefika tu pale ofisini nikashangaa ile H ikatoka ikawa inasoma E

Yani ilionekana bora mtaani kwangu kuna bands za network zinazoweza kushika hata 3G kuliko kwenye ofisi yao ambapo inasoma E.
Band pia zinaplay role, ttcl ni band 1800 na 2600, Hawa jamaa wana minara ile ya smart, na smart walikua na minara sijui ya program gani ile nimesahau ila wana coverage kubwa sana, ukipata simu yenye band 2600 hata speed itaongezeka.
 
Wakuu kuhusu yule jamaa wa Airtel aliyetumwa na kiongozi wake.

Jamaa akanicheki mapema leo kaniambia baadaye saa 10 anaibuka. Nikasema poa.

Baada ya muda kidogo kupita akanipigia simu kuwa vifaa vinechukuliwa sana kwa hiyo imebaki device moja (maana nili request Router mbili)

Nikamwambia njoo na hiyo moja hiyo nyingine naweza kuifata mwenyewe ofisini kwenu directly.

Lakini kwasababu umeme umekatika nikawaza vipi akihitaji maswala ya tin, leseni itakuwaje?

Ikabidi nimuulize mahitaji yanayotakiwa yanaweza kuwekwa kwa mfumo wa soft copy. Akakinijibu kuwa hayo yote hayahitajiki cha msingi namba ya NIDA tu.

Nikastuka! Ikabidi nimuulize "lakini baada ya wewe kuleta hicho kifaa si hapo hapo uta activate na mimi kuanza kutumia unlimited internet kuanzia muda huo?"

Akasema huduma hii sio unlimited unapewa GB100 tu.

Ambapo zikiisha kabla ya mwezi utakuwa unapewa GB 3 kila siku mpaka mwezi uishe.

Ambapo hiyo Router utauziwa kwa 75,000

Nikamuambia basi hatukuelewana jana maana mimi nilitaka unlimited na nilisisitiza.

Kwa hiyo mchongo ukaishia hapo.
Bladifakeni kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]

Hivi hizi kanjanja bongo zitakuja ziishe lini?
 
Updates*

Kifurushi Cha Airtel 5G ambacho kilitangazwa kuuzwa 70,000 kwa 10Mbps sasa ni rasmi imeanza kuuzwa leo.

Ila kampuni limeamua kuuza kifurushi hicho kwa wateja wa majumbani tu na sio maofinisi. Kwa maana hiyo mteja atalazimika kununua kifaa (Router) kwa gharama ya 200,000.
 
Bado rahisi mkuu vip wew umeshachukua?
 
Bado nakuna kichwa hapa

270K nafikiria niwe na mbinu ya kuifanya internet izalishe.

Nikiweza kupata walau vichwa kadhaa wa kushea hapo itanipunguzia mzigo kiasi fulani
Chukua kwa hio 5g Mzee hata ukipata watu sizani kama Ina drop speed mie nimepata ya 4g hapa ila kwa kazi yangu naona Kama speed haitosh ningepata kama hio nisingejiuliza
 
Chukua kwa hio 5g Mzee hata ukipata watu sizani kama Ina drop speed mie nimepata ya 4g hapa ila kwa kazi yangu naona Kama speed haitosh ningepata kama hio nisingejiuliza
5G kwa area yangu bado ni kipengele

Vipi hiyo 4G yako ni unlimited au?
 
Updates*

Kifurushi Cha Airtel 5G ambacho kilitangazwa kuuzwa 70,000 kwa 10Mbps sasa ni rasmi imeanza kuuzwa leo.

Ila kampuni limeamua kuuza kifurushi hicho kwa wateja wa majumbani tu na sio maofinisi. Kwa maana hiyo mteja atalazimika kununua kifaa (Router) kwa gharama ya 200,000.

Nataman kuchukua hii package, but nnapokaa 5g bado. Nikichukua kutumia kwenye 4g hawawez kunifungia huduma baadae?
 
Back
Top Bottom