Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Na hivi ndio vifaa vya ndani nimeona kawekewa
PXL_20230826_144844642.MP.jpg
 
Tuelekezane vzur bhnaaa tusije kupigwa maana nilitak mpk tarehe 5 mambo yote yawe tayali kiukwer kama ni Voda mie hapana
 
Kama ni hiyo nakushauri uachane nayo bora uchukue Router 5G ambayo ni movable lakini pia inakupa kitu kingine vha ziada kasi ya 5G

Router unaweza kutoa 200K ukawa unalipia kifurushi cha 70K per month

ODU wanakufungia bure lakini kifurushi ni 115,000

Na hapo ni huduma ambayo iko fixed sehemu moja.

Na speed nadhani wanatoa sawa yani 10Mbps sawa na package ya 70K kwa Router
 
Oooh ila mkuu SI nilimpigia yule dada ulie nipa namba yake akadai kuwa eneo langu hakuna 5g so ita take time sana mpk kuja kupata vip Kuna njia YOYOTE labda,? Maana uwezo wakununua hio router Ninao
 
Oooh na vipi internet yake speed? Maana nimeambiwa ni mbps40
Speed sina hakika sana ila unaweza kukadiria tu kupitia gharama

Kirufushi chao kinaanzia 115,000 ambacho sidhani kama kinaweza zidi 10Mbps
 
Back
Top Bottom