Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Oooh ila mkuu SI nilimpigia yule dada ulie nipa namba yake akadai kuwa eneo langu hakuna 5g so ita take time sana mpk kuja kupata vip Kuna njia YOYOTE labda,? Maana uwezo wakununua hio router Ninao
Jana nimeweka namba hapa ya mtu mwingine

Nimeweka na info jinsi gani unaweza kupata hicho kifaa hata kama haupo katika maeneo yenye 5G
 
Oooh ila mkuu SI nilimpigia yule dada ulie nipa namba yake akadai kuwa eneo langu hakuna 5g so ita take time sana mpk kuja kupata vip Kuna njia YOYOTE labda,? Maana uwezo wakununua hio router Ninao
+255 688 070 855
 
Vodacom vifuryshi vya chuo

Kwa siku

b70a1cd29ba7689c33db23b33f6e9a4a.jpg

Kwa wiki

1ef7d9488382e72136121a61f5a08a58.jpg
Hii nzuri sana
 
Nimekuwekea post ya juu hapo
Nimeongea nae Tayali kasema Jumanne atakuja kunipimia kama 5g inashika kwenye eneo langu anaweza kuniwekea Jumanne hio hio au jumatano na gharama zauwekaji kwa maofisin anasema hautalipia router ila unakua unanunua tu kifurushi Cha 110,000 ambayo ni mbps 30 hope kwa 5g kama itashika naweza kuipata hio mbps 30 kama Ilivyo
 
Hata kama haitoshika atakusajilia katika location yenye 5G kisha atakupa hiyo device ukaitumie popote utapokuwa unataka hata kama hakutakuwa na 5G
 
Na saizi naona soko lipo huku kila kampuni lunapigania kupata wateja kwa offa ya bei nafuu kwa speed ya kuridhisha

Nimeona tangazo la halotel kuhusu 20Mbps unlimited kwa pocket Mi-Fi nao wanauza kwa 115K
Ebu tupia hilo Tangazo, tuanze kupima wapi panavutia zaidi
 
Huyu jamaa hapa na kuna mwingine pia wamesema huduma hii ni buree kiukweli inasaidia sana kuliko hata postpaid kama itadumu mda mrefu.

Hivi vifurushi naona watu kama wanavipotezea fulani lakini mi binafsi nmevipenda sana ni mtandao wa halotel laini unasajili ni kwa ajili ya internet tu haipigi simu wala haitumi sms, haipigiwi wala haipokei sms...

Laini hizi mpya kwa ajili ya internet tu Ukipiga unaambiwa namba hii haipo nasikia namba yake haianzi na ziro hapana ni huduma mpya.. Mimi pia nimepewa haya maelekezo na mtu aliepost humu ukihitaji huduma unapata.

Mimi kwa sasa nipo na postpaid ya tigo nina mwezi wa 4 sasa ila nampango nikifikisha miezi 6 nivunje mkataba na tigo sjui wtanikubalia hivi kuna ambae amefanikiwa kuvunja mkataba huu, alifanyaje naomba anielekeze na mi nivunje aisee wakati najiunga sijujaza mkataba wowote wa tigo maana niliungwa na mdau nilimtumia taarifa zangu kweny WhatsApp nataka nihamie kweny hii halotel aisee mambo ni fire[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2725031View attachment 2725049
Yeah nashangaa watu wanauziwa ghali sanaa mkuu wakati ni huduma ambazo tunatoa kitonga tuu
 
Back
Top Bottom