thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Wakuu nahitaji unlimited bando ya internet ya Yas kwa mwaka mzima, naipataje
Umeandika 100k ama ni 10k?VIFURUSHI VYA SME VODACOM TSH 100,000 UNAPATA GB 150 KWA MWEZI HIKI NDO NIMEONA KIZURI NA SI BEI SANA.
View attachment 3494351
Napigwa vipi wakati 70k wanalimit speed 20MBPS wakati GB150 yaani wastani nitumie 5GB kwa siku wakati mwingine sifikishi mi naona poa tuu kwa 100kUmeandika 100k ama ni 10k?
Kama ni 100k, huoni bado unapigwa?
Unapigwa kwa sababu kwa 70k tu, Airtel 5G Router unapata Unlimited Internet yenye Speed ya 25Mbps kwa mwezi mzima!
Na kwa 100k Airtel wanakupa 40Mbps kwa mwezi mzima!
Sema, akili ni nywele na kila mtu ana zake!
Mkuu naomba unisaidie data plan unlimited ya mwaka mzima ya mtandao wowoteUmeandika 100k ama ni 10k?
Kama ni 100k, huoni bado unapigwa?
Unapigwa kwa sababu kwa 70k tu, Airtel 5G Router unapata Unlimited Internet yenye Speed ya 25Mbps kwa mwezi mzima!
Na kwa 100k Airtel wanakupa 40Mbps kwa mwezi mzima!
Sema, akili ni nywele na kila mtu ana zake!
Hivi we jamaa😀Napigwa vipi wakati 70k wanalimit speed 20MBPS wakati GB150 yaani wastani nitumie 5GB kwa siku wakati mwingine sifikishi mi naona poa tuu kwa 100k
Mkuu Airtel walileta hii option, lkn baadaye wakaitoa, na ilikuwa nzuri kweli.Mkuu naomba unisaidie data plan unlimited ya mwaka mzima ya mtandao wowote
25MBPS kwangu mimi naona Speed ndogoHivi we jamaa😀
Alokuambia hiyo speed ndogo nani?
Data Cap ya hizo unlimited ni 1TB.
Wewe hiyo 5Gb yako unayoisemea unaitumia kwa siku ni tone tu, maana mimi naweza tumia hata 30Gb kwa siku kulingana na u-free wangu.
Kwa hiyo 25Mbps na-stream 1440P popote pale iwe mpira, youtube, movies nk bila stress ya "Umefikia 75% ya matumizi yako ya internet".
Mkuu usije kulinganisha unlimited yoyote ile na hizo Gb za kupimiwa. Ni mbingu na ardhi!
Labda kama haujui Mbps ni nini.25MBPS kwangu mimi naona Speed ndogo
Kaka nipo hapa ninacheka because matumizi yangu ya siku 5 kwa kifurushi cha Airtel cha unlimited 100k (40mbps) ni kifurushi chake chote cha 100k alichonunua Vodacom.Labda kama haujui Mbps ni nini.
Lakini kibongobongo, 25Mbps ni speed reasonable kabisa ya kukufanya uishi kitajiri ktk upande wa internet
25Mbps ni sawa na download speed ya 3MB per Second.
Na katika ulimwengu halisi, kitu chenye ukubwa wa 3Gb unaweza kukidownload kwa dakika 15 tu.
Kwa hiyo kusema 25Mbps ni ndogo kwako siyo kweli, labda kama haujui tofauti ya Mbps na MB.
Shukrani sanaMkuu Airtel walileta hii option, lkn baadaye wakaitoa, na ilikuwa nzuri kweli.
Sema kuna siku ukiingia kwenye menu unakuta ipo, kuna siku ukiingia unakuta haipo.
Waliwekaga option ya mwezi, miezi 3, miezi 6 na mwaka.
∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆
Bahati nzuri nilichukuaga hii hapa screenshot.
Options walizokuwa wameweka waliishia miezi 6 (Siku 180).
Ila kwa sasa bahati mbaya wameziondoa hizi options.
View attachment 3494389
View attachment 3494390
Nadhani ni kutokujua mkuu😀Kaka nipo hapa ninacheka because matumizi yangu ya siku 5 kwa kifurushi cha Airtel cha unlimited 100k (40mbps) ni kifurushi chake chote cha 100k alichonunua Vodacom.
Na mimi hata si mtumiaji mkubwa kiasi hicho. Hivyo, kweli wanapigwa. Na sio kidogo.
Nastream vizuri tuu tena 4kNadhani ni kutokujua mkuu😀
Yeye akiona 25Mbps nahisi haelewi maana yake.
Hizo 150Gb zake akistream tu, kwishney.
Nastream vizuri tuu tena 4kNadhani ni kutokujua mkuu😀
Yeye akiona 25Mbps nahisi haelewi maana yake.
Hizo 150Gb zake akistream tu, kwishney.
Nastream vizuri tuu tena 4kNadhani ni kutokujua mkuu😀
Yeye akiona 25Mbps nahisi haelewi maana yake.
Hizo 150Gb zake akistream tu, kwishney.
Ni mazoea tu. Tutafika muda fibre zitapatikana kila kona, sasa hapo ndiyo watu watajua maisha ya kupimiwa yalikuwa ya shida sana.Nadhani ni kutokujua mkuu😀
Yeye akiona 25Mbps nahisi haelewi maana yake.
Hizo 150Gb zake akistream tu, kwishney.
Hawa Sprint wapo Uganda pia.Kuna hawa jamaa naona soon washa mitambo tz. Vita ya ISPs zinaenda kuwa kubwa sana
View attachment 3494882
Mkuu leo tokea asubuhi net ya airtel iko chini mno na inapotea potea kila,ni kwangu tu hii issue au na watumiaji wengine wa airtel wanapitia hii changamoto?Hawa Sprint wapo Uganda pia.
Hizi ndiyo package yao lilivyo kwa huko Uganda.
View attachment 3498455
Hiyo 129,000/= ya UG ni sawa 90,000/= ya TZ.
View attachment 3498456
Kwa upande wangu bado package zao ni za kawaida ukilinganisha na ISP wengine waliopo kwa sasa.
Mfano Airtel wao kwa 100,000/= wanakupa 40Mbps, na kwa 70,000/= wanakupa 25Mbps.
View attachment 3498457
Hivyo kama kweli wataleta huduma zao hapa Tanzania basi wahakikishe wanakuja na package ambazo ni nzuri zaidi ya hizo za huko Uganda. Wakicopy na paste hizo za Uganda basi watafeli mapema sana!!
Ni kweli mkuu, hata mm nimeexperience hiyo kitu.Mkuu leo tokea asubuhi net ya airtel iko chini mno na inapotea potea kila,ni kwangu tu hii issue au na watumiaji wengine wa airtel wanapitia hii changamoto?