Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
- #10,761
Vodacom wanatumia satelite mda tu haitabadili day to day matumizi yetu kama mtu utajitajika kutumia minara yao, unless wampe mtu option moja kwa moja ya ku connect na satelite ndio wa vijijini wataweza kupata fast Internet.Nimeona Reuters wanasema kuwa Vodacom wanaingia mkataba na starlink kwa ajili ya Internet Africa. Sasa nafikiri hili deal litakuja na Tanzania pia