Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi kwa ajili ya router Lkn unaweza kutumia kwenye line ya kawaida kwa bundle la kawaida
Hizi ni shortcut ambayo ni subjective.

Ndo maana kuna watu hapo juu wamesema Tigo wamekanusha kuwa na huduma ya aina hii.
 
IMG_1068.jpeg

HAKUNA KITU ACHENI KULETA TAHARUKI
 
Mchana wa Leo lakini najaribu kucheki hapa sioni kama inafanya kazi labda mpaka ubadilishe line
View attachment 3532318
Ama watakua na vifaa vyao maalum, Tcra walipouza 5G Halotel alikua ni mmoja wapo alioshinda Mnada, wenzao wote wametoa 5G kasoro wao, so sio Jambo la ajabu na wao kupandisha 5G ni swala la mda Tu.
 
Hamna taharuki kaka sehem zengine hawajafunga bado 5G unajua rollout za halotel inavokuwa hata 4G alichelewa kuja nayo na akaanza rollout kidogo kidogo.
Chini nimeweka images za speed ikionesha 5G ipo maeneo gani ya halotel
IMG_3486.png

IMG_3487.png
 
Ama watakua na vifaa vyao maalum, Tcra walipouza 5G Halotel alikua ni mmoja wapo alioshinda Mnada, wenzao wote wametoa 5G kasoro wao, so sio Jambo la ajabu na wao kupandisha 5G ni swala la mda Tu.
Alf wao walichukua frequency ya 3500 Kama sikosei. Na network yao sijui itakuwa vp. Mana hawa jamaa sometimes wanakuwa hawapo reliable na hasa kwenye fiber yao watu we nawaona wakilalamikia
 
We dada mgumu sana kuelewa usiku mwema. Ungetumia ID yako ya Zamani labda akili ingerudi
Mnachobishania sijui ni nini.

Hata Router za Airtel wanaziita "5G Router", lakini haimaanishi kwamba sehemu palipo na 4G, 3G hazifanyi kazi, zinafanya vizuri tu.

Na Halotel kuziita hizo router zao "5G Router" haimaanishi kwamba zinafanya kazi penye 5G tu. Ni just designation ya jina tu.

Airtel 👇
Screenshot_20260121_183007_Phone.png
 
Mnachobishania sijui ni nini.

Hata Router za Airtel wanaziita "5G Router", lakini haimaanishi kwamba sehemu palipo na 4G, 3G hazifanyi kazi, zinafanya vizuri tu.

Na Halotel kuziita hizo router zao "5G Router" haimaanishi kwamba zinafanya kazi penye 5G tu. Ni just designation ya jina tu.

Airtel 👇
View attachment 3532667
Huyo jamaa ubishi wake wote ni kuwa 5G haijafika ilala na sio kuhusu 5G ni kwa routers tu
 
Back
Top Bottom