Kasi yake ipoje, Haipungui baada ya siku kadhaa za matumizi hiki kifurushi cha 60k?Hawa hawa Voda wana Unlimited...
10mbps kwa 60k
20mbps kwa 80k
30mbps kwa 90k
Kuna jamaa yuko Vodashop alini activatia hizi kwa laini angu ya ziada niwe natumia kwa router yangu universal... Kigezo NIDA na namba kwa ajili ya OTP na hiyo 60k ku activate laini..
data cap ni ngapi ? naona hata Yas wana hizi pakeji, sema data cap ndiyo inafichwaHawa hawa Voda wana Unlimited...
10mbps kwa 60k
20mbps kwa 80k
30mbps kwa 90k
Kuna jamaa yuko Vodashop alini activatia hizi kwa laini angu ya ziada niwe natumia kwa router yangu universal... Kigezo NIDA na namba kwa ajili ya OTP na hiyo 60k ku activate laini..
Zote hazina data cap ni true unlimited, kuna throttling Tu unapotumia data nyingi, Tigo ni per day 20 ama 30GB ukifikisha wanashusha speed na Airtel ni per month 500GB-1TB wanashusha speed, voda na Halotel sijasikia. Fiber hazina.data cap ni ngapi ? naona hata Yas wana hizi pakeji, sema data cap ndiyo inafichwa
Ni real unlimited kuna throttling tu ukitumia data nyingi ambayo una bypass kwa VPN nayo kukutokea sio sana sana..Kasi yake ipoje, Haipungui baada ya siku kadhaa za matumizi hiki kifurushi cha 60k?
Hamna data CAP kaka kwa Vodacom ni true unlimited sema throttling inatokea ukipiga zaidi ya 50+ per day kwa mara 1.. kubypass u need a VPN.. ila mpaka ikakutokee hivyo basi ww ni too much..data cap ni ngapi ? naona hata Yas wana hizi pakeji, sema data cap ndiyo inafichwa
Naomba contact za huyo staff wa voda kama unazo MkuuNi real unlimited kuna throttling tu ukitumia data nyingi ambayo una bypass kwa VPN nayo kukutokea sio sana sana..
Ukizipata utupe mrejeshoNaomba contact za huyo staff wa voda kama unazo Mkuu
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Walahi nitafunga hiyo ya 150Mbps hata kesho. Watanikoma huko ofisini kwao.TTCL anaanza kufanya maajabu ya dunia. Kwa mujibu wa website 55k inaanza na 60mbps uchawi ni kuwa nyuma kuwaunganisha wateja na bureaucracy nyingi sana. Vifurushi vitakuwa hivi
55,000-60mbps
100mbps hawajaweka bei Lkn Nafikiri itakuwa kwenye 70,000-80,000
100,000-150mbps
150,000-200mbps
200,000-250mbps
View attachment 3558561
Siku hizi Wana vifurushi vya 3 in one pia, ukifunga fiber wanakupa na simu ya mezani na GB za kutosha kwenye line ya simu. Mi pia nawafikiriaTanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Walahi nitafunga hiyo ya 150Mbps hata kesho. Watanikoma huko ofisini kwao.
Mimi walinishauri hili nikawakatalia. Net ya ttcl ya kutafuta sana. Nimeona bora niunge fiber tu package ya 55k. Ila pia nimeona kwa 70k unapewa 100mbps na sim ya mezani sasa siju wataengeza gbs kwenye secondary line au vp mana hawajaweka hio infoSiku hizi Wana vifurushi vya 3 in one pia, ukifunga fiber wanakupa na simu ya mezani na GB za kutosha kwenye line ya simu. Mi pia nawafikiria
Hichi ni 3 in 1 maana ndiyo nimekipenda?Siku hizi Wana vifurushi vya 3 in one pia, ukifunga fiber wanakupa na simu ya mezani na GB za kutosha kwenye line ya simu. Mi pia nawafikiria
Yah ni hio Triple hub, naona wameandika 2 SIM maybe moja ni mezani ama Una choice zote ziwe kwenye simu.Hichi ni 3 in 1 maana ndiyo nimekipenda? View attachment 3558652
Mtandao wao unakufa wasipojiongeza kama hivi tutausahau.Mimi walinishauri hili nikawakatalia. Net ya ttcl ya kutafuta sana. Nimeona bora niunge fiber tu package ya 55k. Ila pia nimeona kwa 70k unapewa 100mbps na sim ya mezani sasa siju wataengeza gbs kwenye secondary line au vp mana hawajaweka hio info
So hii line ya simu unaweza itoa ukatumia hizo GB za bure?Siku hizi Wana vifurushi vya 3 in one pia, ukifunga fiber wanakupa na simu ya mezani na GB za kutosha kwenye line ya simu. Mi pia nawafikiria
Line unapewa ili uweke kwenye simu, fiber hazina line, so nyumbani unatumia fiber na mtaani unapewa line ya kuzugia ambayo wanakupa GB, SMS na dakika za bure kila mwezi.So hii line ya simu unaweza itoa ukatumia hizo GB za bure?
Hapa nimeelewa kama wananishawishi hivi . AsanteLine unapewa ili uweke kwenye simu, fiber hazina line, so nyumbani unatumia fiber na mtaani unapewa line ya kuzugia ambayo wanakupa GB, SMS na dakika za bure kila mwezi.