Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Issue ya Speed Vipi??? For me naona hata ukipa Terabyte 100 kama hakuna speed nitakuhama tuu TTCL wako rigid sana na Technology mpaka sasa ni mtandao pekee ambao hauna huduma ya 5G kwa sasa lakini pia kuna kitu kinaitwa ESIM hawa jamaa hawana nitakua mtu wa mwisho kutumia huu mtandao nimeizoea sana Vodacom!Line unapewa ili uweke kwenye simu, fiber hazina line, so nyumbani unatumia fiber na mtaani unapewa line ya kuzugia ambayo wanakupa GB, SMS na dakika za bure kila mwezi.