Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Lengo moja kumbe me mwenyewe kww ajil ya world cup kulipia Dstv plus bundle tena kazi mbili hizo kwa maisha yangu siwezi
Kombe la dunia linaanza mwezi ujao, mechi zinapigwa usiku mwingi sana kwa Tz, natamani ningekuwa nazitazama hizi mechi room.

😄😄😄😄 Kweli muhimu, kuna mechi zitapigwa mpaka saa 10 usiku kwa masaa yetu..
 
Lengo moja kumbe me mwenyewe kww ajil ya world cup kulipia Dstv plus bundle tena kazi mbili hizo kwa maisha yangu siwezi
Ha ha yaani nilipie DSTV, Internet na Azam juu kwa ajili la ligi ya bongo naona ni mzigo usio na maana. Azam anaweza onesha WC yote ila internet ina cha ziada, social networks zinasaidia pa kubwa afya ya akili.
 
League ya Bongo Fawanews wanaonesha livestream fresh kabisa 😃😃
 
Nakaa mtaa fulani hivi wa kishua, ni ngumu kumuulza mtu kuhusu TTCL pia sijaona hata mmoja ambae ameifunga, binafsi huwa sijui nyaya ya fiber ipoje.

Halotel niliongea na huyo wakala wao, akasema nimtumie location, nilipotuma hadi sasa yupo kimya. Nafikiria kwenda kabisa ofisini kwao.

Pia mimi internet ni sehemu ya maisha yangu, so ni kulipia walau three months and above, tena kwa hiyo elfu 50 naweza lipia hata minne ikiwa tu hakuna extra charges.

Matumizi yangu ni madogo, na devices ni chache, TV mbili, moja Room na nyingine seblen. Simu mbili na laptop tu basi. Nikitumia simu, basi laptop inakaa pembeni. Nikiangalia TV basi naunganisha TV na simu basi. Ila hiyo speed ya TTCL ya 60mbps ni unyama sana lakini changamoto zao ndio hizo.
Ukitoka nje angalia hakuna nguzo extra Tofauti na za umeme? Ama sometimes nguzo zile zile za umeme fiber inapita kwa katikati ya nguzo wakati umeme unapita juu. Angalia na savannah pia kama wapo, wao waya zao za orange, mara nyingi kwenye nguzo wanafunga fungal waya kama hivi.

Aerial-Application-of-Fiber-Optic-Cable.jpg
 
Ukitoka nje angalia hakuna nguzo extra Tofauti na za umeme? Ama sometimes nguzo zile zile za umeme fiber inapita kwa katikati ya nguzo wakati umeme unapita juu. Angalia na savannah pia kama wapo, wao waya zao za orange, mara nyingi kwenye nguzo wanafunga fungal waya kama hivi.

View attachment 3587492
Hizi nyaya nimeziona barabarani kabisa na mimi nilipo, ni kama mita 200 hivi, pia nimeona kuna kibox kimekaa katikati ya nguzo, nguzo hiyo hiyo moja nimeona hivyo. Niliwaza kitu kama hiko ila sikukazia mawazo hayo.
 
Back
Top Bottom