Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hawa wanapambana na wale unlicensed internet resellers
kitendo cha kuja na routers ambazo kubadili ssid/password mpaka uwaone wao nikajua kumekucha tayari
ujinga wa kuzuia ethernet ports zisifanye kazi ni adhabu inayojumuisha waliokuwemo na wasiokuwemo
wakapata fununu kwamba, kuna wanaounga mikrotik kwa router zao kwa njia ya "wifi repeating mode" naona ndiyo wakaongeza makali kwa FUP
Wangefanya Tu kama DStv, waweke vifurushi vya wauza Internet na router maalum zenye captive portal, Africa hii sio lazima kila kitu kuiga wazungu.
 
Wangefanya Tu kama DStv, waweke vifurushi vya wauza Internet na router maalum zenye captive portal, Africa hii sio lazima kila kitu kuiga wazungu.
TTCL ukiongea nao wanacho kifurushi cha business hicho cha hao resellers ni 400k kinaanzia 😂 sema wengi huwa wanakiogopa huenda kipo capped au kisirudishe pesa.. si unajua wauzaji wengi wana mitaji midogo wanaanzia walipo sio kuruka stage...
 
Wakuu imekua proved kuhusu FUP ya TTCL kuna rafiki angu anawatumia sana miaka kaniambia jana insider mmoja kamwambia wana FUP hiko kifurushi cha 100k ambacho speed 150Mbps alkua anapenda kuunga kina 2TB limit..

Fikira cha 100k FUP ipo 2TB je cha 55k vipi? 😂😂🫵

Chief-Mkwawa

View attachment 3641775
Mambo ya GVT bhaana, hapa ndipo Voda anapokuja kujichukulia points.
 
Bora wangebaki na Ile Ile Tu 20mbps, kuongeza speed halafu kulimit watu data kwenye fiber hakumake sense yoyote, kutaongeza Tu kelele.

Jambo zuri ni kwamba wengine nao wanasambaa Sana nje ya katikati ya jiji, soon watakimbiwa TTCL, advantage Yao Vs wengine imeondoka.
IMG_20260806_193627_088.jpg
 
View attachment 3647489
Nauliza hiki kifaa kinafaa kupachika line ya halotel?.

Kinauzwa TZS 37,000/- Aliexpress.
Kitashika tu 3G UMTS B1 ni 2100mhz mitandao yote Tanzania unatumia band hio.

Ila kwenye 4G Halotel wanatumia B7, so haitashika hapo,

Pia Halotel ina benefit ukiwa ukiwa na LTE advance hicho kina LTE ya zamani Tu.

Kama mkuu huna ulazima na kifaa portable tafuta router za Airtel 5G , ni much better hata kwa 4G, zile za zamani zinazotoka Loki mara kwa mara FB naziona bei around 40K sometimes chini ya hapo.

Alternative pia vi router vidogo unapata hapa hapa Tz ambavyo vina lte plus na band za Halotel.
 
Me nahitaji cha muundo huo. Si mtumiaji mkubwa wa data. Bando la kupima 10GB kwa mwezi huwa nashindwa kuzimaliza na pia hata 4G bado si mtumiaji sana.
 
Safi. Je, hizi dongle huwa zinaleta setup exe ukichomeka kwenye PC?. Kwenye maelezo zinasema ni plug and play na mimi napenda iwe inaleta profile kama modem za zamani.
Ngumu kujua ungemuuliza muuzaji, ama hata kama ana specific model akuambie ni model gani tucheki online kama zina dashboard.

Maana hata modern mpya za mitandao ya simu sio kama za zamani dashboard zake sio za kudownload ni za web zinafungukia kwenye browser.
 
Sawa, ngoja nimuhoji muuzaji juu ya hiyo nyeusi.
 
View attachment 3647489
Nauliza hiki kifaa kinafaa kupachika line ya halotel?.

Kinauzwa TZS 37,000/- Aliexpress.
Hiki usinunue man, tafuta hata MiFi zimejaa universal na bands zote muhimu B1, B3, B7, B20, B28 (Airtel wanatumiaga hii band, 700MHz kwa 4G) B40 na B41.. Ninavyo viwili hapa kwa droo viliungua tena nlkua natumia kwenye usb port zenye zinatoa volt standard kabisa inavyotakiwa kuvi operate ila vika miss behave tu kimazong zong.....

Nina ka MiFi ka Alcatel niliagizaga huko AliExpress kana 2x2 MiMO na bands zote regiona 1 zinazotumika TZ/EU na baadhi za region 2 na 3 kwa ajili ya matumizi binafsi.. ni miaka 2 sasa ninako betri masaa 8-10.. hicho ulichopost chenga sana..
 
20260815_002947.jpg

Mkuu kama niliotea kusubiri kuweka oda. Hapa nina modem ya airtel 3G za kitambo ndiyo naitumia sana, shida yao hawana bando za kupima, ndiyo nikafikiria kutafuta hiko kifaa kwa ajili ya line ya halotel.

Unaweza nipa link au picha ya hiyo mi-fi, thou napenda sana USB modem.
 
I just found this on AliExpress:
Vodafone 4G Mobile Hotspot - Model R228t router(95%new only machines not original box)
View attachment 3650526

Haka ni used na unlocked vina hali nzuri usiogope kuona used 😂 ni used ulaya huko, yangu nilichukua kwa seller huyu huyu sema hiyo model hana saivi👆kwa hapa bongo 4G za mitandao yote inadaka LTE fresh tu sababu kana bands zote zilizosajiliwa kutumika TZ pia mtandao wowote Africa Ulaya sababu wote tunatumia bands za region 1 zipo kwenye list (B1,3,7,8,20,28,32,38,40,41)..

Halotel na B3 1800MHz na B7 kwenye 2600MHz, Yas kama upo nje ya mji wanapenda kupita kwenye B20 hapo 800MHz, Voda na TTCL ukiwa town wanapenda kuboost 4G yao kwenye congestion kwa B3 na B40(2300MHz) hapo, Airtel kwenye B3, B7 na B28/700MHz hii ukiwa mbali na mji au mnara wao wanaipenda sana hii band Airtel sababu inatembea mbali mno ndo band yenye frequency ndogo ya 4G hapa bongo na ina penetrate mbali sema haibebi data nyingi binafsi huwa naitumia kama backup ikitokea fail over ya 4G kwenye ODU kama Yas wanavyo ipenda kutumia sana sana vijijini na mjini B20 yenye 800MHz nayo inaenda mbali na ku penetrate sehemu zenye majengo..

......Naona bei yake imefumuka zamani zilikua hadi TZS 35,000 unapata.. yangu ni Mw70vk nilinunua TZS 40,000 mpaka kunifikia ila nmeingia leo naona hazipo 😂 naona kuna nyenzie jamii hiyo Linkzone 2 inauzwa laki 2 wakati zilikua chini ya 50k
 
Attachments

  • Screenshot_20260815-043413_AliExpress.png
    Screenshot_20260815-043413_AliExpress.png
    781.5 KB · Views: 17
View attachment 3650526
Mkuu kama niliotea kusubiri kuweka oda. Hapa nina modem ya airtel 3G za kitambo ndiyo naitumia sana, shida yao hawana bando za kupima, ndiyo nikafikiria kutafuta hiko kifaa kwa ajili ya line ya halotel.

Unaweza nipa link au picha ya hiyo mi-fi, thou napenda sana USB modem.
I just found this on AliExpress:
Vodafone 4G Mobile Hotspot - Model R228t router(95%new only machines not original box)

Hii hata ukitaka usiichoshe betri mapema ukiwa maskani unaichomeka Router yako kwenye PC au umeme na micro USB tu inawaka fresh betri unaitoa inakaa pembeni, utaiweka ukiwa unaenda misele au mishe zako, pia inatoa internet tethering kwa USB fresh inafanya kazi mi huwa naitumia hadi kwenye Mikrotik yangu inatoa internet fresh... hizi MiFi ni zaidi ya hizo dongle za 3G mkuu... Au unapenda old school fashioned design with a modern technology? 😂
 
Back
Top Bottom