How ?
Acha kutupanga ACHA KABISASema wakuu nini TTCL wameadvance kwenye kufungia wateja FIBER. Sasa hivi wako very fast na naona wapo wengi wanaofunga hizi, mimi baada ya kulipia tu nikapokea simu jamaa kaja, mara sijui kuna kifaa gani kilizingua, nikapigiwa na mwingine ndani ya muda mchache akarebisha.
Pole sana Mkuu ila mimi nimeongea kwa kile ambacho kilitokea kwangu, pia last week au kama wiki mbili zilizopita net haikuwepo kama kwa siku 4 hadi 5 hapo ndio nikajua kweli Waafrika sisi bado ila nilivumilia sababu wadau humu walitamka mapema kuwa jamaa wanazingua. Yote katika yote, speed yao ni kali. File la 6GB unaliteremkaha haraka sana.Acha kutupanga ACHA KABISA
Nawatumia wao na halotel aisee ikitokea shida hao TTCL na speed zao za kobe ni kama wanatokea Bulili, Mwanza kuja kutatua tatizo la Ilala
Sim hawapokei, huduma mbovu, wahudumu wana sauti mbaya
I hate TTCL
Neso?Hii ndio solution pia nataka kuweka Savana .Kwanza bei yao ni 49k na sijasikia malalamiko kwa mtu hata mmoja so far.
Ttcl walitutumia msg kuomba radhi kuhusu speed ila hamna kilichobadilika. Uzuri sehemu ina kila Fiber unayotaka, kulalamika ni kujitakia tu.
Kuna wengine wanaitwa Neso nimeona wamebandika matangazo yao kwenye nguzo.
Maoni yako yanaweza kuwaponza wengi hasa wale wanao search google moja kwa moja wataona maoni yako na watajichanganya.Pole sana Mkuu ila mimi nimeongea kwa kile ambacho kilitokea kwangu, pia last week au kama wiki mbili zilizopita net haikuwepo kama kwa siku 4 hadi 5 hapo ndio nikajua kweli Waafrika sisi bado ila nilivumilia sababu wadau humu walitamka mapema kuwa jamaa wanazingua. Yote katika yote, speed yao ni kali. File la 6GB unaliteremkaha haraka sana.
Neso ni net solution ni wa mda hawa jamaa wapo Mjini Ila sijawahi watumia.Neso?
ha ha ha mkuu wasamehe, good news hapa mtaani kwetu ni kwamba VODA pia wanataka waje watembeze FIBER na wameshapita kugawa vipeperushi ila wao wana bei kuliko TTCL. Ila hii speed ya TTCL wakuu ni balaa. Naona tofauti kubwa saaana na ODU za Airtel.Maoni yako yanaweza kuwaponza wengi hasa wale wanao search google moja kwa moja wataona maoni yako na watajichanganya.
TTCL generally kama mtandao si wa mtu kutumia kama hautaki siku moja uwe na kinywa kichafu, kuwa na sonona na hata kufanya makosa ya kimtandao maana utawapigia uwatukane matusi makubwa makubwa
Kwanza hela yako inaanzaje kukutesa mbwa wale
KAMA HUTAKI KARAHA KAA MBALI NA TTCL
Me Nina watumia mwaka wa tatu huu,sijawahi kujutia kwa kweliiNeso ni net solution ni wa mda hawa jamaa wapo Mjini Ila sijawahi watumia.
Ni kawaida yao, labda kama hutumii line ya Voda.How ?
Hawawezi, kampuni za internet bongo zimekaa kimkakati kumkandamiza mtumiaji... Kacheck site ya Safaricom Kenya wameweka FUP wazi kabisa kila kifurushi kwenye CPE 5G zao...waweke wazi na FUP
Acha 😂 ngoja nije niweke laini kwenye MiFi nitest..
Hatimaye umefanya maamuzi na kufunga TTCL 😂 mkuu..Sema wakuu nini TTCL wameadvance kwenye kufungia wateja FIBER. Sasa hivi wako very fast na naona wapo wengi wanaofunga hizi, mimi baada ya kulipia tu nikapokea simu jamaa kaja, mara sijui kuna kifaa gani kilizingua, nikapigiwa na mwingine ndani ya muda mchache akarebisha.
Ha ha ha Jamaa unazingua, TTCL kwa gharama zake nafuu watawapata wengi ila ikitokea kampuni ya Voda ikaja, nitaenda Voda. Nasikia hata Halotel pia sio haba ila Voda na Savanna mmoja wao akija nitaenda hapo.Hatimaye umefanya maamuzi na kufunga TTCL 😂 mkuu..
Hawa wote mbona tulisha kuchambulia humu pia 😃😃Ha ha ha Jamaa unazingua, TTCL kwa gharama zake nafuu watawapata wengi ila ikitokea kampuni ya Voda ikaja, nitaenda Voda. Nasikia hata Halotel pia sio haba ila Voda na Savanna mmoja wao akija nitaenda hapo.
Ni kweli mkuu, Safaricom wameweka wazi kila package ina data limit kiasi gani..Hawawezi, kampuni za internet bongo zimekaa kimkakati kumkandamiza mtumiaji... Kacheck site ya Safaricom Kenya wameweka FUP wazi kabisa kila kifurushi kwenye CPE 5G zao...
Noma mkuu, hicho cha 50mbps ni kama 80k hiyo uki convert, sema kuipata hiyo 4000 au 5000 kwao sio mchezo vilevile! 😃 Kacheck prices za Fibers mzee huko ndo utacheka, bei za nyanya kuna kampuni moja ya Fiber niliiona daah prices zao speed na capacity wanazo offer ni zaidi ya affordable na customers feedback ilikua positive asilimia kubwa... Nikiikumbuka nta share hapa link, Kenya wametupiga gape kubwa sana kwenye techs..Ni kweli mkuu, Safaricom wameweka wazi kila package ina data limit kiasi gani..
Na bei zao ni rafiki sana, 100Mbps ni roughly 100K kwa rate ya Tanzania.
View attachment 3661678
View attachment 3661679
Sasa hivi wapo serious sana na kazi, binafsi makosa yao yote nimewasameheSema wakuu nini TTCL wameadvance kwenye kufungia wateja FIBER. Sasa hivi wako very fast na naona wapo wengi wanaofunga hizi, mimi baada ya kulipia tu nikapokea simu jamaa kaja, mara sijui kuna kifaa gani kilizingua, nikapigiwa na mwingine ndani ya muda mchache akarebisha.
Wanajitahidi kwa sehemu yake mkuu, speed yao iko vyema pia.Sasa hivi wapo serious sana na kazi, binafsi makosa yao yote nimewasamehe