Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mbona sasa huku kwa pc ndo easy kupata password 😁😁
Ujue kuna hawa jamaa walisomaga kipindi cha analogy wanajua zama ni kama zile, kumbe mabo yamebadilika kabisa. Pamoja na kuijua password yake lakini bado naweza kushea na device 8 kwa muunganiko huu huu alionipa ila nahisi speed itapungua kidogo.
 
Nipe elimu hapa, so hii unaweza fanikiwa kuijia password ikiwa tu tayari yeye alishawahi kukuunga na sio kwa unayojiunga mara kwanza ?
 
Hao ni CTV mkuu, customer care Yao wanaijua wenyewe, wapo jmall pale, sababu unaona haieleweki hao jamaa Asili Yao ni watu wa cable, zile wanaleta waya nyumbani unaona TV, then waka improve baadae na kuleta internet. Kama kuna MTU anataka vyema aende ofisi zao ama awapigie, hio mifumo Yao ya online sidhani kama inafanya kazi.
Chief, kumradhi probably mtu ameshauliza huko nyuma. Savannah ina cap?
Nina Voda saii nimebakisha miezi miwili ifike 2 years. Nikiwakacha kimyakimya nikahamia Fiber wata-mind?
 
Wifi za Ofisi za Umma kwa kubania hawajambo😀

Hii speed ya ofisi moja hapa Darisalama.
Screenshot_20260927_014729_Speedtest.png
 
Wifi za Ofisi za Umma kwa kubania hawajambo😀

Hii speed ya ofisi moja hapa Darisalama.
View attachment 3678637
Ukute wana sababu zao kufanya hivyo 😂 huenda wanagawa speed kwa kila mtumiaji kwa SQC (Simple Queues Connection) ili kila mtu apate speed yake kuepusha mtu mmoja kulamba bandwidth yote kama nyie heavy user mkiona WiFi inamwaga moto 🔥 wa speed ndo mnapata na mawazo ya ku download files nzito 😁
 
Yeah, ya juu ni 4G na chini ni 5G. Kwenye Router moja napata hayo mawimbi mawili tofauti. How come wakati hii ni Fiber?.
View attachment 3683591
Wi-Fi name ya kwanza Mfano, Seawhale 4G.

View attachment 3683592
Ya pili, Seawhale 5G.

Zote hizi ni kwenye Router moja na kifurushi ni cha TZS 59,000/-.
Router ya kiboya basi, router za bure hizi zina quality ndogo, utofauti wa ping ni mkubwa Sana.

Kama Una Ethernet cable jaribu pia
 
Back
Top Bottom