Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #1,281
unaweza kueka vipya? maana naona voda bado wanavyo vifurushi maalum vizuri ila kwa line ambazo hazijawahi kujiunga. na ukijiunga tu mara moja vinapotea.Mkuu Chief-Mkwawa Unge update kwenye huo uzi kuna daadhi ya bundle zimechange.
Airtel sojatumia siku nyingi vifurushi vyao hata sivifahamu.