Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu Chief-Mkwawa Unge update kwenye huo uzi kuna daadhi ya bundle zimechange.
unaweza kueka vipya? maana naona voda bado wanavyo vifurushi maalum vizuri ila kwa line ambazo hazijawahi kujiunga. na ukijiunga tu mara moja vinapotea.

Airtel sojatumia siku nyingi vifurushi vyao hata sivifahamu.
 
Aise mwenye utaalamu na hiki kitu msaada plse wa maelekezo jinsi ya kuitumia
 
Msaada hii teblet haisomi line ilichezewa haina imei mwenye ujuzi nayo

Samsung GT-P5220
 
Kwema wakuu? Hivi voda wana kifurushi gani kizuri cha usiku??
kifurushi chao cha usiku ni 4gb kwa shilingi 1,500. sio kizuri.

kama eneo lako lina TTCL 4g wao wanatoa 10gb kwa shilingi 1000 hawa ndio best kwa muono wangu. ila inaanza saa sita usiku.

pia kama kuna tigo 4g tafuta line ya zantel kwa 1500 utapata 8gb na halotel utapata 10gb kwa 1500.
 
Tigo 4g wana kifurushi kipi cha usiku.??
Naomba menu yake kama kipo...
 
kijana voda washafuta hiko kifurushi cha uciku hawana tena nimetafuta mpaka nikaomba poo
 
Halafu voda wameondoa zile bundle za usiku kwenye uni-ofa zao!

Zamani 1500 ilkuwa 1GB+1GB night
2500 ilkuwa 2GB+2GB night sasa hakuna tena!

Ni mtandao gani umebaki wenye hiduma nzuri kwa bundle la chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…