Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Risk yake ni nini hii??
 
Risk yake ni nini hii??
Hizo code ni kwa laini moja tu yaan ikishatumika haitumiki tena!. Na hizi code ndizo zinazouzwa wanakuwa nazo wenyew wafanyakaz wa voda.
Hivyo anakupa unaunga mwenyw na ikishaungwa haitumiki tena
 
Mkuu hizo code zimekataa nimejaribu mpaka 1.11
 
MbonA Mimi Hiyo CDS information haitokei nikibonyeza connectivity
 
Hizi code ni mpaka upewe au uwe mtundu wa mtandao huwezi kujaribu tu zikakubali mi nishaunga mara 2 sema laini tofauti ukishaunga mara moja huwezi kuunga tena na kazi ya kubadili laini tu kila baada ya miezi 6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😎
 
Aisee nna line ya voda naomba nfanyie code mkuu
Hizi code ni mpaka upewe au uwe mtundu wa mtandao huwezi kujaribu tu zikakubali mi nishaunga mara 2 sema laini tofauti ukishaunga mara moja huwezi kuunga tena na kazi ya kubadili laini tu kila baada ya miezi 6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Write your reply...mkuu @Chief_Mkwawa fanya kuedit post kwa sasa. naona kama kuna mabadiliko makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…