Pengobovu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 482
- 545
YapHii kweli mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapHii kweli mkuu
Karibu PMHii kweli mkuu
Mbona ujibu text mzeeKaribu PM
Iki wajanja wa mjini wanajiunga kwa kutumia MTK sema ni risk.Vodacom wana kifurushi kinaitwa "choice Bando" hiki ni kifurushi maalum unaungwa kwa 20,000/= unapewa GB60 kwa miezi 6 yaan kila mwezi unapewa GB10 View attachment 946610
Naomba maelekezo ya kujiunga na hiki kifurushi mkuu.Vodacom wana kifurushi kinaitwa "choice Bando" hiki ni kifurushi maalum unaungwa kwa 20,000/= unapewa GB60 kwa miezi 6 yaan kila mwezi unapewa GB10 View attachment 946610
Nakihitaji hiki kifurushi, najiungaje aisee!Iki wajanja wa mjini wanajiunga kwa kutumia MTK sema ni risk.
Ngoja nitaleta tips Kuna mtu alinitumiagaNakihitaji hiki kifurushi, najiungaje aisee!
jaribu kuwa mwaminif au nilete screenshot?Ngoja nitaleta tips Kuna mtu alinitumiaga
Kuna simu maalumu au simu aina yoyote?Processs ni
Uwe na sm tajwa
Dawnload app mtk engineering mode
Then ingia mtk seting
Then nenda cds information
Then nenda mtk information
Then nenda radio information
Then click sim one
Then andika E herufikuwa kama hvo
Then chagua ..... 1.7""
Then katkat ya hzo alama za funga semi weka code mfano .....1.7"35444400076357888"
baada ya hapo weka nafas moja mbele ya +
Then bonyeza SEND AT COMMAND
IKIkuandikia send at command is ok jua umepatia but okiandika ERROR kwenye processes kuna sehem umekosea
Ikiandika ok zima sm then washa
Baada ya kuwasha simu cha kufanya nenda kwenye phone then bonyeza *#06# itatokea imei mbili moja ya juu itafanana na code niliyo kutumia
Baada ya hapo kama imei ya juu na chini hazijafanaana cha kufanya rudia process now baada ya kubonyeza E mbele ya + now click .......1.10 badala ya 1.7
Then malizia process zote kama apo juu zima sm na kuwasha cheki imei zikifanana juu na chini na code nilokutumia ushafanikisha
Last process unatuma neno Zawadi kwenda 15300 kwenye laini ya vodacom iliyopo kwenye sim inayosapoti bando
Na Y3 je?TAFUTA KATI YA IZO SIMU LISTED
Tecno c8.
C7
C5
J7
J8
P5
L5
N8
L8
W3
W5lite
F5
H5
H6
Y4
Unakipataje hiki ukitaka kujiunga nacho?Vodacom wana kifurushi kinaitwa "choice Bando" hiki ni kifurushi maalum unaungwa kwa 20,000/= unapewa GB60 kwa miezi 6 yaan kila mwezi unapewa GB10 View attachment 946610
Siku ukifahamu hicho cha kununua ni_tag mkuuUnakipataje hiki ukitaka kujiunga nacho?