mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Menu yake??Halotel ndio funga kazi,hyo buku unapiga unlimited
Kifurush cha chuo wanatoa GB Ngapi Kwa mwezi?ttcl mpango mzima nyumbani kumenoga 10gb saa sita usiku kwa buku.unaweka list ya movie kwenye torrent ukiamka mzigo safi
*148*66# then offa maalum..utachagua usiku offaMenu yake??
Hiki kifurushi kesho ntaki subscribe ili nipakue movies za kutosha... Maana kitambo sana...*148*66# then offa maalum..utachagua usiku offa
Kiongoz naomba uniunganisheMie nimejiunga hiki kifurushi asee ni bomba sana nimepewa 10GBView attachment 952090
Mkuu naipataje hii???....Halotel ndio funga kazi,hyo buku unapiga unlimited
*148*66# offa maalum alaf usiku offaMkuu naipataje hii???....
Smart guy
Mtandao gan
Mtandao gani?
Umetoka lini?
Mie nimejiunga hiki kifurushi asee ni bomba sana nimepewa 10GBView attachment 952090
GB60 kwa miezi 6 mi nakuunga. Na utalipia baada ya kuona bando