Kuhusu bando nawashukuru voda naendelea kunufaika na sijui kuhusu vocha [emoji18][emoji18][emoji18]View attachment 988611
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahau boss maana hawatoi ushirikiano kivile
Hapa za chuo nakupa salute mpk sasa umeniunga hakika ubarikiweChangamkia fursa ya kuifanya laini yako ya voda au tigo kuwa ya chuo ili upate bando la bei chini. Pia kuna bando maalum la voda yaani GB30
Karibu nashukuru pia kwa kulipa
Weka mawasiliano yako mkuu maana nimekuchek pm hujanijibu.Kwa wanaenda vufurushi vya chuo njoo tukuwezeshe
Weka mawasiliano mkuu mie nahitaji voda.University offer kwa voda na Tigo......
Karibuni
Kuifanya line ya voda iwe ya chuo unafanya kwa bei ganiChangamkia fursa ya kuifanya laini yako ya voda au tigo kuwa ya chuo ili upate bando la bei chini. Pia kuna bando maalum la voda yaani GB30
Mkuu shukrani sana Voda imekubali ndani ya dakika kumi ulizoniahidi.Big up sana.0745846360
Mkuu mie umeniunga na voda uni offer leo ila na hii ofa ya GB 30 kwa miezi 6 nahitaji uniunge mkuu.Wametoa GB 60 wameleta ya GB30 kwa sasa ambayo ni 5GB kwa mwezi kwa miez 6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnaofanyaga maisha kua magumu! Sasa huku hii unaileta ya nini?Kumbe bado watu mnahangaika na bando za kupimiwa [emoji23][emoji23][emoji23] watu tunapiga unlimited mpaka gb 100 per day shenzi. Cheki speed 4mb/sec [emoji3][emoji3].View attachment 989321
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeku pm.Imepotea lini?
Njoo inbox nikusaidie kuirudisha mkuu
Karibu sanaMkuu mie umeniunga na voda uni offer leo ila na hii ofa ya GB 30 kwa miezi 6 nahitaji uniunge mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji120][emoji120]Nyie ndio mnaofanyaga maisha kua magumu! Sasa huku hii unaileta ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilituma pesa baada ta kuniunganishaMimi nimetuma hela kabla ya huduma nikajisemea moyoni nikitapeliwa basi lakini mkuu Kajole kaniunganisha ndani ya dakika kumi line ikakubali ofa ya voda uni.
Sent using Jamii Forums mobile app