Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuhusu bando nawashukuru voda naendelea kunufaika na sijui kuhusu vocha [emoji18][emoji18][emoji18]
Screenshot_2019-01-07-14-07-52-43.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamkia fursa ya kuifanya laini yako ya voda au tigo kuwa ya chuo ili upate bando la bei chini. Pia kuna bando maalum la voda yaani GB30
 
Changamkia fursa ya kuifanya laini yako ya voda au tigo kuwa ya chuo ili upate bando la bei chini. Pia kuna bando maalum la voda yaani GB30
Kuifanya line ya voda iwe ya chuo unafanya kwa bei gani

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Mimi nimetuma hela kabla ya huduma nikajisemea moyoni nikitapeliwa basi lakini mkuu Kajole kaniunganisha ndani ya dakika kumi line ikakubali ofa ya voda uni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom