Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

kifurushi cha voda cha usiku kimepunga hadi gb 2
 
Sijui wanapata wapi jeur kenge hawa...alaf bei wmeacha ile ile

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Vodacom nishawahama kitambo nipo Tigo na Halotel. Voda kila siku wanapunguza vifurushi tu, 500-dk 19 (voda-voda) na sms 50 wakati Tigo napata dk 60 na dk 5 mitandao mingine, sms 500 na 550 mb. Napewa ofa dk 10 mitandao yote, na sms 50 za kutumia siku 3. Kuna kifurushi cha 2500 kina dk za kutosha na gb km 2 na ushee hivi ila wananiboa net yao haina speed kbs na km unatumia modem utatamani uzime data.
 
Mim naunga dar super uni ndio inafanya niwe nao..pia nina university kidgo inaniboost

Ila night offa naunga halotel sh 1000 wananipa unlimited..speed kali sana





Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
hivi mkuu zile Samsung M10 zishafika tz? kama wiki tatu hivi nilitafuta kkoo sikuzipata
 
Duh..mi nilisha kiacha hiko,nakula unlimited ya halotel

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Pia halotel kifurushi chao cha unlimited cha 1000 wanachokupa mb200 cha siku kikiisha wanabana speed yao huwezi kudownload au kustream video YouTube vizuri ila kama una application ya startimes unastream channel za startimes bila tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…