Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hii Royal bando ya halotel 10000 unapewa intanet bila kikomo lkn GB 2 zakasi. asa mi sijaelewa zile GB 2 za kasi je zikiisha naendelea kuperuz kwa kasi ya 2G au 3G??
 
hii Royal bando ya halotel 10000 unapewa intanet bila kikomo lkn GB 2 zakasi. asa mi sijaelewa zile GB 2 za kasi je zikiisha naendelea kuperuz kwa kasi ya 2G au 3G??
Kwa kasi ya kobe, page 1 inaweza funguka dakika 5, ni chini ya kb10 kwa sekunde.
 
waizi sana, na siungi ng'ooo
Kuna kipindi voda ilikuwa ukimaliza 2gb zako wanashusha hadi 64kbps, ile angalau ulikuwa unaweza ukastream youtube low quality na kuperuzi bila shida.

Tuna uhaba sana wa unlimited internet.
 
Vodacom nishawahama kitambo nipo Tigo na Halotel. Voda kila siku wanapunguza vifurushi tu, 500-dk 19 (voda-voda) na sms 50 wakati Tigo napata dk 60 na dk 5 mitandao mingine, sms 500 na 550 mb. Napewa ofa dk 10 mitandao yote, na sms 50 za kutumia siku 3. Kuna kifurushi cha 2500 kina dk za kutosha na gb km 2 na ushee hivi ila wananiboa net yao haina speed kbs na km unatumia modem utatamani uzime data.
hiyo tigo ni kifurushi gani??
 
Kwa kasi ya kobe, page 1 inaweza funguka dakika 5, ni chini ya kb10 kwa sekunde.
umejaribu kuitumia? labda inategemea na eneo ulipo...nimeitumia na hata hizo 2 gb zilipokwisha nimeendelea ku stream video youtube bila tatizo lolote.
 
umejaribu kuitumia? labda inategemea na eneo ulipo...nimeitumia na hata hizo 2 gb zilipokwisha nimeendelea ku stream video youtube bila tatizo lolote.
halotel?

Ndio huwa nakitumia kila baada ya miezi kadhaa kupima speed. Mara ya mwisho umetumia lini? Unaweza ukaweka speed baada ya bando la kawaida kuisha?
 
halotel?

Ndio huwa nakitumia kila baada ya miezi kadhaa kupima speed. Mara ya mwisho umetumia lini? Unaweza ukaweka speed baada ya bando la kawaida kuisha?
hii laini ni mpya tangu imezinduliwa, ina kama mwezi mmoja na wiki mbili hivi, ninatumia hili bando la Royal hivi sasa na hizo 2 gb zimeshakwisha lakini bado naangalia video youtube...kama nilivyosema awali inategemea na eneo ulipo ndio maana unashindwa kupata speed nzuri.
 
Back
Top Bottom