Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Asante mkuu kwa positive feedback....pia nmepata Salio lako nashukuru.
Karibun:
Halotel 10000
Vodacom 5000 ni ndani ya dakika 10 tu unakuwa na laini ya chuo unajiunga popote na muda wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina laini yangu ya voda mkuu inawezekana ukanifanyia maujanja ikawa ya chuo?
Au lazima nipate nyingine?
 
Laini za chuo saivi voda wana masharti magum.. Kwanza lazima uwe na kitambulisho cha chuo(valid) na lazima jina ulilosajili laini yako lifanane na jina unalotumia chuo.. Wewe unawezaje mdau, embu kuwa muwazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi naweza na zinafanya kaz vizur kwanza huo usajili unafanywa na nani?, si watu walioajiliwa au?. Kwahiyo unataka nikupe siri ya kaz hii au?. Mi naifanya ukiwa na kitambulisho cha kura tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom