Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa watumiaji wa Halotel
Mnahusika hapa.download app ya my Halotel playstore register upate ofa
Ofa ipo mwishoni 31/1/mwaka huu mwisho chakufanya nukitingisha kila siku
1547996250814.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni wahanga,
Humu kuna ID za watu waminifu wa hizi mambo.

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Naomba code za vodacom zinazotumika mtu akikupigia kama haupatikani basi ionyeshe nani kapiga.

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
TTCl bandika bandua,1000 wanakupa 4GB.
3.5GB usiku kuanzia 20:00-06:00,af 500MB zilizobaki kuanzia 06:00-20:00
 
Back
Top Bottom