Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,437
Tapeli huyo.. Kuwa nae makini broHizo bando zikoje bro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli huyo.. Kuwa nae makini broHizo bando zikoje bro?
Bado unatapeli tu?Wakuu Habari
Kwa wale walio nichekig bundo za Halotel plz kama namba yangu bado unayo nitafute
Sorry kwa usumbufu ulio jitokeza nyuma
0625*****5
Since when mkuu?Bado unatapeli tu?
Acha kujisahaurisha aisee...Since when mkuu?
Weka screenshotAcha kujisahaurisha aisee...
Nimekuwekea screenshot tulishawahi kuchat kuhusu kuunganisha bando la halotel, na hii uliweka mwenyewe post kwenye jukwaa la Series kuwa unaunganisha vifurushi kwa bei nafuu..
Nikakutumia 5k ukapigwa kimya hadi kesho, kila nikikuchek unaleta matatzo kbao mara..
Sasa nakuomba tu acha utapeli mkuu,
Au unataka niwekee na screenshot za sms kabsa? View attachment 1531865View attachment 1531867
Una kingine cha kujitetea mkuu? Na hiyo ni 2018...Weka screenshot
Weka screenshot
Una kingine cha kujitetea mkuu? Na hiyo ni 2018...View attachment 1531880View attachment 1531881
Nataka aje abishe hapa...Kumbe tapelii lijamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2018 damn dude! Na ni namba ya Nani iyo?Una kingine cha kujitetea mkuu? Na hiyo ni 2018...View attachment 1531880View attachment 1531881
wewe ndy man of tapeli[emoji23][emoji23][emoji23]Una kingine cha kujitetea mkuu? Na hiyo ni 2018...View attachment 1531880View attachment 1531881
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Tapeli huyo.. Kuwa nae makini bro
duuhUna kingine cha kujitetea mkuu? Na hiyo ni 2018...View attachment 1531880View attachment 1531881
Namba iliyopo hapo kwenye conversation inayotaka kutumiwa pesa ni 0625 79 68 052
2018 damn dude! Na ni namba ya Nani iyo?
Acha kabsa mzee,mhuni pesa yake akitapeliwa inauma sana[emoji23][emoji23]Watu mnatunza kumbukumbu sema Tapeli ashasahau alikuwa na Emergenc hospital[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bongo noma sanaa unajidhalilisha kisa 5000 mkuu duu
Umeelewa swali?Namba iliyopo hapo kwenye conversation inayotaka kutumiwa pesa ni 0625 79 68 05
Bado una jipya tu mkuu? View attachment 1531893
Sana mkuu,inatosha kwa aliotupiga, kuendelea kuona tena anawapiga wengine hapana aiseee...aisee ningeingia kichwa kichwa jamaa angenipiga
Game is Over!!U
Umeelewa swali?