Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Alikuwa ameshasahau... Ni muda mrefu 2018
Kunapokua na shutuma kama hizi za utapeli ni vyema kuzitolea taarifa mapema kwa Moderator jamaa ale ban ya maisha ili asiwatapeli na watu wengine.
Nilitegemea atatetea hoja ilikuaje ila naona kakimbia mazima,tafadhali Maxence Melo hili swala lichukulieni hatua,tunataka jamii forum iliyosalama.
 
Bila shaka moderator kalala usingizi wa pono ama anaona sii jambo la kutisha ama kutatiza/ghafilisha watu/wadau ila ukweli ni kwamba inabidi lisifumbiwe macho kabisa,
 
Jamaa kaangusha na kudhalilisha chama la waongo ulimenguni. Ukiwa muongo sharti no.1 ni kutokusahau kamwe, sasa kumbe mwamba ana ubongo wa kuku halafu anajiunga na chama cha waongo. Meeeen, aibu yake aibu yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom