Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi mpaka leo napata hivo kweny laini yangu sio mbaya
Screenshot_20210108-002326.jpg
 
Mimi hawa TIGO wameshanizidi nguvu. Ni kama vile nimenywewa Alkasusu. Hiyo size yako daily wananipandishia kwa wiki imefika elf 5. Siku hizi inanilazimu lujiunga vya mwezi. Wanaboa kweli kweli
 
Back
Top Bottom