Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

unapewa Gb7+Dkk 300 za halotel na 220 Mitandao yote na SMS 500 mwezi mmoja
 
Zantel laini ya chuo ni noma now nmewahama halotel na Vodacom kwa mda hizo dakika 160 ni mitandao yote plus 1.5gb kwa wiki nzima
Screenshot_20210818-193049.jpg
 
Zantel laini ya chuo ni noma now nmewahama halotel na Vodacom kwa mda hizo dakika 160 ni mitandao yote plus 1.5gb kwa wiki nzimaView attachment 1897161
Mbona hii ipo muda mrefu halafu Sasa Kama dakika hujamaliza baada ya wiki kufika ukiunga kifurushi tena wanakurudishia na zile dakika zilizobakia za kifurushi Cha nyuma
 
Hii imekaa njema sana, je kwa line zote za Zantel?
 
Mbona hii ipo muda mrefu halafu Sasa Kama dakika hujamaliza baada ya wiki kufika ukiunga kifurushi tena wanakurudishia na zile dakika zilizobakia za kifurushi Cha nyuma
Yaani mwanangu ni raha iliyoje??
 
Back
Top Bottom