donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
I'm back mkuu, nlilala kidogoMkuu mbona umepotea pm hata namba ya muamala hujanipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm back mkuu, nlilala kidogoMkuu mbona umepotea pm hata namba ya muamala hujanipa?
Sawa mkuuniunge kwenye conservation yako mkuu
Mkuu nimekubaliana na terms,sasa nahitaji namba ya kutuma muamala.I'm back mkuu, nlilala kidogo
Mkuu nenda ukaniattend kule pm.Sawa mkuu
Nasubiri utumiwe nami nijiunge...naomba feedback tafadhaliMkuu nenda ukaniattend kule pm.
Poapoa mkuuNasubiri utumiwe nami nijiunge...naomba feedback tafadhali
Sisi wahalotel je??Poapoa mkuu
Halotel za offer hakuna kwa sasa.Sisi wahalotel je??
Mnatoa dakika na data kwa pamoja?Halotel za offer hakuna kwa sasa.
Zinazopatikana ni Tigo tu labda na voda ila kwa shida.
Ni data tuMnatoa dakika na data kwa pamoja?
Hizi nazitumiajeNi 15k 72gb mkuu per year
14days per month, per yearHizi nazitumiaje
Maelezo kidg mkuuWale wa halotel hii kitu niliruka nayo mdebwedo kimtindo kwa muda mfupi naona trigger file ikafungwa daaah View attachment 2017798View attachment 2017797
Wifi inategemea na eneo na matumiziwakuu me naitaji kufunga wifi ambayo itakua unlimited so ni campuni gani nzur na unapata mbps ngap na kwa kiasi gani?
Ni mambo ya zile trigger files zinafanya injection mkuu
siakupata vizuri mkuu hapo me nipo dar es salaam.kigamboniWifi inategemea na eneo na matumizi
fiber zipo mjini ngumu kupata huko. labda utumie mitandao ya simu.siakupata vizuri mkuu hapo me nipo dar es salaam.kigamboni
Mkuu mi naomba maelekezo ya Fiber nzuri kwa Town maeneo ya Kinondoni karibu na Ofisi za DSTVfiber zipo mjini ngumu kupata huko. labda utumie mitandao ya simu.