Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata mashaidi watatu wakongwe wakinithibitishia hili,nakuja mimi na wateja 4Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month Pre-paid
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month Post-paid
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukipta unishtue kma ina uhakika
We jamaa unarushiwa mawe,ila hukomi[emoji28][emoji28][emoji28]Njoo nikuunge kwa 2000 tu mkuu
Wiki ijayo ntakutafuta tufanye kazi kwenye hivi vifurushi vya Voda, nakubali huduma zakoVodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month Pre-paid
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month Post-paid
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa hazingui.ni wa ukweli.Nikipata mashaidi watatu wakongwe wakinithibitishia hili,nakuja mimi na wateja 4
N.B Akiwa chief-mkwawa peke yake au MWL.RCT akinithibitishia hili nakuchek fasta
Atakupa mrejesho mkuuUkipta unishtue kma ina uhakika
Poa
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu naitaji sana hii huduma aiseVodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month Pre-paid
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month Post-paid
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nishakupa melekezo mkuuMkuu naitaji sana hii huduma aise
msaada wako mkuu, sijui wapi nimekosea yan.
Wathibitishe mara ngapi uvivu wa kusoma au umedandia uzi tu mbelembele?Nikipata mashaidi watatu wakongwe wakinithibitishia hili,nakuja mimi na wateja 4
N.B Akiwa chief-mkwawa peke yake au MWL.RCT akinithibitishia hili nakuchek fasta
Jamaa hana rongorongo ni uakika mkuuNikipata mashaidi watatu wakongwe wakinithibitishia hili,nakuja mimi na wateja 4
N.B Akiwa chief-mkwawa peke yake au MWL.RCT akinithibitishia hili nakuchek fasta
Ñenda kule kwenye channel mkuumsaada wako mkuu, sijui wapi nimekosea yan.
Bado zipo njoo pm chapuVodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Aiseee [mention]Mr kiuno [/mention] huyu ni mtu na nusu nampongeza kweli ameniunga kumbe watu wakweli wapo jamani huyu mtu ni muaminifu kupita kiasi mpaka anakupigia simu kukuuliza kama haujalidhika na huduma wakati tayari amekuhudumia vizuri narudia tena wewe ni mwamba na nikotayari kama kuna malalamiko juu yako kuhusu utapeli basi huyo mtu nimrudishie pesa yake mimi hadi sijaamini ulichonifanyia mkuu Ahsante sana.